Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 26,081
- 137,313
😁😁😁Kuna wale tumepanga tu matofali hapa pia panatuhusu unajenga nyumba kesho ukiamka unamwambia fundi jiko liwe ipande huu kesho kutwa choo kiwe upande ule kitapendeza zaidi nondo na linta umechanganya size kutokana na hela ya siku hi