johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
- Thread starter
- #81
Ushuzi anajamba baba kiranga akiwa na mama kiranga!Tatizo huna hoja zaidi ya kujamba ushuzi na kuchafua hewa tu hapa, ungekuwa na hoja, ungejibu maswali yangu.

Ofisi yake ingekua ya kawaida tugekua tumesha nakumsahau ...Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Makafiri ndio wenye tabia ya kuwafanya wanadamu MIUNGU kisha wakawaabudia.Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
mbona magufuli mnamuita MunguNatoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Anaitwa na nani kwa mfano?!mbona magufuli mnamuita Mungu
Wewe including na wanafiki kama makonda , Hapi , mawaziri and the whole chain of appointees!Anaitwa na nani kwa mfano?!
Akikujibu nitag .Najua unazungumzia CAG.
Unaweza kumzungumzia Magufuli hivyo hivyo?
Ukishindwa hilo, nitaona unamlenga CAG kwa sababu zako za kisiasa tu, huna imani ya ndani kabisa kwamba kusema mtu yeyote asiguswe kama "Mungu" ni kitu kibaya.
Unaamini kwamba kusema mtu yeyote asiguswe kama "Mungu", akiwamo Magufuli, ni kitu kibaya?
Au unaamini hili kwa CAG tu? Kwa Magufuli unaachana na imani hiyo?
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri .Anaitwa na nani kwa mfano?!
Hahahaa...... kwa bahati nzuri mimi na Dr Magufuli tunamwamini Mungu wa mbinguni aishie katika utatu mtakatifu hivyo umebahatisha kwa kukosea!Wewe including na wanafiki kama makonda , Hapi , mawaziri and the whole chain of appointees!
Ushuzi anajamba baba kiranga akiwa na mama kiranga!
Hakuna anaemzungumzia CAG kam mtu tunaongelea kama ofisi ,CAG ni ofisi muhimu kuliko hata TRA sasa makusanyo ya nini kama yanaishia kufanya tafrija za maaskofu?Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo kunya anye kuku akinya bata kaharisha siyo?!Mkuu matusi ya nn ? Haikupaswa utoe lugha kali. Kiranga kajenga hoja na kuuliza maswali, ulitakiwa ujibu hoja zake na kumtwanga maswali. Ndo mijadala ilivo. Uzuri wa Jf no one sided thread/topic
Usihangaike sana na ushabiki kwa CAG. Kuna watu wanamuona ni mtu wao! Wanataka asiguswe. Ni hayo hayo tuliambiwa kwa Ramadhani Dau na kumuonesha ni mtu super! Leo hii NSSF haina muelekeo, siyo kwa matatizo ya jana, bali ya miaka ya nyuma na kwa miradi ya kipuuzi toka kwa mtu super.Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
CAG ni dhamana anayopewa mtu usikariri...... Ofisi ni NAO!Hakuna anaemzungumzia CAG kam mtu tunaongelea kama ofisi ,CAG ni ofisi muhimu kuliko hata TRA sasa makusanyo ya nini kama yanaishia kufanya tafrija za maaskofu?
Nashukuru mkuu!Usihangaike sana na ushabiki kwa CAG. Kuna watu wanamuona ni mtu wao! Wanataka asiguswe. Ni hayo hayo tuliambiwa kwa Ramadhani Dau na kumuonesha ni mtu super! Leo hii NSSF haina muelekeo, siyo kwa matatizo ya jana, bali ya miaka ya nyuma na kwa miradi ya kipuuzi toka kwa mtu super.
CAG sasa ni mtu super kwa baadhi ya watu. Eti ni mcha Mungu sana!
kuna bajeti ya CAG ? Au ua NAO? Maana yangu watu wanaona kama hela anaichukua CAG (Cheo ndani ya taasisi ) na si taasisiCAG ni dhamana anayopewa mtu usikariri...... Ofisi ni NAO!
Makafiri ni watu wa aina gani, mkuu?Makafiri ndio wenye tabia ya kuwafanya wanadamu MIUNGU kisha wakawaabudia.
Waislam hilo hata mtoto anaeanza kuusoma uislam hilo hawezi fanya.
Kwahiyo mara nyingine ufikiri kwanza kabla hujasema.
akikujibu nitagMakafiri ni watu wa aina gani, mkuu?