johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
- Thread starter
- #101
Nimekuelewa mkuu!kuna bajeti ya CAG ? Au ua NAO? Maana yangu watu wanaona kama hela anaichukua CAG (Cheo ndani ya taasisi ) na si taasisi
Nimekuelewa mkuu!kuna bajeti ya CAG ? Au ua NAO? Maana yangu watu wanaona kama hela anaichukua CAG (Cheo ndani ya taasisi ) na si taasisi
Nimemuuliza swali rahisi sana kujibu..Mkuu matusi ya nn ? Haikupaswa utoe lugha kali. Kiranga kajenga hoja na kuuliza maswali, ulitakiwa ujibu hoja zake na kumtwanga maswali. Ndo mijadala ilivo. Uzuri wa Jf no one sided thread/topic
Nimemuuliza swali rahisi sana kujibu..
Hiyo kanuni ya kusema kwamba mtu (CAG) asifanywe kama "Mungu", kwani anakosea tu, anaiweka kwa watu wote, akiwamo na Magufuli?
Jibu ni ndiyo au hapana.
Mpaka sasa kapata kigugumizi hajajibu.
Kwa nini?
Kwa sababu, nia yake si kusema mtu asifanywe kama Mungu, angekuwa na nia hiyo angekubali kwamba hata Magufuli naye kwa kuwa si Mungu, hili linamhusu.
Nia yake ni kuleta siasa za majitaka dhidi ya CAG.
Tumemstukia ujanja mwingi mbele kiza.
Mbona humwambii kwamba wewe ndio uliyeleta lugha ya " kujamba"?Nimemuuliza swali rahisi sana kujibu..
Hiyo kanuni ya kusema kwamba mtu (CAG) asifanywe kama "Mungu", kwani anakosea tu, anaiweka kwa watu wote, akiwamo na Magufuli?
Jibu ni ndiyo au hapana.
Mpaka sasa kapata kigugumizi hajajibu.
Kwa nini?
Kwa sababu, nia yake si kusema mtu asifanywe kama Mungu, angekuwa na nia hiyo angekubali kwamba hata Magufuli naye kwa kuwa si Mungu, hili linamhusu.
Nia yake ni kuleta siasa za majitaka dhidi ya CAG.
Tumemstukia ujanja mwingi mbele kiza.
Hujajibu swali langu. Huko kwingine hakunihusu.Mbona humwambii kwamba wewe ndio uliyeleta lugha ya " kujamba"?
Unaweza ukajidanganya kuwa wewe unajua matusi kuliko wanajf wote.
Swali kama lako limeulizwa na wengi akiwemo kamanda Retired kwa ustaarabu kabisa nimewajibu na hawajatokwa povu.
Huko uliko le mutuz aka kubwa jinga anaita " zilipendwa"!!!
mkuu, ingependeza pia ungeanzisha thread nyengine kama hii kuwakumbusha watu kuwa jiwe si Mungu!Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Huyu kwa kukataa kujibu swali langu kashakubali kwamba kwake Jiwe ni Mungu.mkuu, ingependeza pia ungeanzisha thread nyengine kama hii kuwakumbusha watu kuwa jiwe si Mungu!
Silazimiki kukujibu utakavyo wewe huu siyo mtihani na wewe siyo mwalimu.Hujajibu swali langu. Huko kwingine hakunihusu.
Na nilishakupa kikombe cha viroja, nikakwambia kwa viroja utanishinda, ila hoja huna.
Umeshindwa kujibu swali rahisi tu.
Hahahaa........ Hiyo thread ataanzisha kamanda kiranga japo anaogopa kweli kweli!mkuu, ingependeza pia ungeanzisha thread nyengine kama hii kuwakumbusha watu kuwa jiwe si Mungu!
Hahahaa..... Mimi na Dr Magufuli tunamwabudu Mungu wa mbinguni pale St Peters!!!Huyu kwa kukataa kujibu swali langu kashakubali kwamba kwake Jiwe ni Mungu.
Ila mkuu unamtukuza sana jiwe,. Uongo?!Hahahaa........ Hiyo thread ataanzisha kamanda kiranga japo anaogopa kweli kweli!
Wanamshambulia bila sababu? Au unataka wasifie hata kama ni upuuzi?Mkuu Chadema kila iitwapo leo wanamshambulia Dr Magufuli hapa mtandaoni au huwaoni kamanda?!
Sijasema unalazimika kunijibu nitakavyo mimi.Silazimiki kukujibu utakavyo wewe huu siyo mtihani na wewe siyo mwalimu.
Kama " unaumia" anzisha thread tutachangia hapa tuko na CAG.
Hahahaa...... Kamanda kiranga unateseka na Dr Magufuli....... Rudi nyumbani kumenoga utalea vibabu hadi lini na uzee umeshakupigia hodi!
Hahahaa...... wanafiki ni waliomzaa kiranga!Sijasema unalazimika kunijibu nitakavyo mimi.
Ninasema thread yako haina mantiki na ni ya kinafiki.
Mkuu sio.poa. Acha kejeli ndugu. Matusi sio poaHahahaa...... wanafiki ni waliomzaa kiranga!
Hahahaa..... Mimi na Dr Magufuli tunamwabudu Mungu wa mbinguni pale St Peters!!!
Tunaamini katika Mungu wa mbinguni anayeishi katika utatu mtakatifu!
Ninamjibu sawasawa na upumbavu wake!Mkuu sio.poa. Acha kejeli ndugu. Matusi sio poa
Mm napenda tujadiliane kuutafuta ukweli. Kitu gani kinakufany uupende na kuuenzi huu utawala?Ninamjibu sawasawa na upumbavu wake!
Lazima uangalie yeye ndio anaanzisha hicho unachokiita matusi!
Nimetoa mfano tu lakini nakushukuru kwa kuongeza nyama kumbe hata wanaccm wanamkosoa Rais Magufuli.Ila mkuu ugali umekufanya ufumbe macho. Unasema chadema inamshambulia jiwe, akina Nnape, Bashe, Serukamba etc nao ni CHADEMA?