Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,500
- 151,727
Jamaa anamuogopa Magufuli hata kuandika tu hapa kwamba Magufuli anaweza kukosea naye, kwani si Mungu, anaogopa.H
Hahaha
Jamaa anamuogopa Magufuli hata kuandika tu hapa kwamba Magufuli anaweza kukosea naye, kwani si Mungu, anaogopa.H
Hahaha
Hiyo double standard anayoifanya ni ya kijinga sana. .. au ana muona magufuli sio human beingJamaa anamuogopa Magufuli hata kuandika tu hapa kwamba Magufuli anaweza kukosea naye, kwani si Mungu, anaogopa.
Kwa nini unakiita " kitabu kizuri"?Sijakiita kitabu kizuri, nimekiita "kitabu kizuri". Kuna tofauti.
Unaponisoma naomba umakini, mpaka alama za kunukuu zina maana yake.Izingatiwe.
Kaanzisha mjadala kisiasa, bila kujua kwamba mjadala uta mu expose Mungu wake, Magufuli, kuliko CAG.Hiyo double standard anayoifanya ni ya kijinga sana. .. au ana muona magufuli sio human being
Sijakiita hivyo.Kwa nini unakiita " kitabu kizuri"?
Kaanzisha mjadala kisiasa, bila kujua kwamba mjadala uta mu expose Mungu wake, Magufuli, kuliko CAG.
Waingereza wanasema "If you live in a glass house, don't throw stones".
Sasa jamaa kajisahau.
Anaishi kwenye glass house, halafu anarushia watu mawe.
Kwani kuna hali gani? Pesa zipo na tunakusanya kodi...Mkuu una hoja nzuri ambayo na mimi ninaiunga mkono. Isipokuwa nitaona kuna shida mahali kama punguzo la bajeti ya CAG ni significantly disproportionate ukilinganisha na punguzo kwenye ofisi nyingine zenye umuhimu na ukubwa wa kazi kama yake, punguzo litakalo athiri utendaji wake kiasi cha kuleta impression kwamba anakuwa almost "incapacitated". Kitakuwa ni kiashiria kibaya.
Vinginevyo ni punguzo la kawaida tuu kulingana na hali ilivyo kwa sasa hivi.
Una uhakika mkuu?Hata Magufuli halingani na Mungu?
Kwa hiyo uchumi wetu umeshuka? Kilangila.Mkuu una hoja nzuri ambayo na mimi ninaiunga mkono. Isipokuwa nitaona kuna shida mahali kama punguzo la bajeti ya CAG ni significantly disproportionate ukilinganisha na punguzo kwenye ofisi nyingine zenye umuhimu na ukubwa wa kazi kama yake, punguzo litakalo athiri utendaji wake kiasi cha kuleta impression kwamba anakuwa almost "incapacitated". Kitakuwa ni kiashiria kibaya.
Vinginevyo ni punguzo la kawaida tuu kulingana na hali ilivyo kwa sasa hivi.
Kaanzisha mjadala kisiasa, bila kujua kwamba mjadala uta mu expose Mungu wake, Magufuli, kuliko CAG.
Waingereza wanasema "If you live in a glass house, don't throw stones".
Sasa jamaa kajisahau.
Anaishi kwenye glass house, halafu anarushia watu mawe.
Umenichekesha sana ulivyoandika "Kwa hivo hawezi kusema " Jirani yangu ana sura Mbaya kama Baba yangu" bali atasema "Jirani yangu ana Sura mbaya". ".Nahisi na huenda ni hivo unamjua huyu Yohana mbatizaji kiundani.
Na binafsi nahisi na kudhani kua ni hivo kwamba huyu Yohana mbatizaji anajulikana huko kitengoni ikiwemo ID yake ya JF.
Kwa hivo hawezi kusema " Jirani yangu ana sura Mbaya kama Baba yangu" bali atasema "Jirani yangu ana Sura mbaya".
Umenichekesha sana ulivyoandika "Kwa hivo hawezi kusema " Jirani yangu ana sura Mbaya kama Baba yangu" bali atasema "Jirani yangu ana Sura mbaya". ".
Huu ndiyo ukweli wenyewe, na shukurani sana kwa mfano wako maridadi kabisa.
Mimi si kwamba namfahamu wala nini.Shukrani.
Inaonesha mnafahamiana mkuu.
Yeye anaabudu mwanadam na kutoka nje kusema usiabudu mwanadam.
unaongea kana kwamba hiyo bajet inaenda kwny mfuko wa CAG as personal,yaani kama vile hiyo bajet ni kwa mtu binafsi,how comes uhusishe jambo hilo na uungu wa prof Assad,ungesema tu ofisi ya CAG inastahili bajet ilopewa na co kuona kwamba Mussa Assad atakomesheka kwa mambo yake binafsi kutokana na bajet ndogo kwa office yakeNatoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Mbn ww wataka jiwe lisiguswe au jiwe ni Malaika??Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.