Tusikufuru CAG ni binadamu siyo Mungu!

Tusikufuru CAG ni binadamu siyo Mungu!

Amepunguziwa bajeti Prof. Assad ama ofisi yake? Sisi tunalalama kwamba ofisi ya CAG imebaniwa, sioni mantiki yoyote kwenye hili chapisho lako juu ya uungu unaousemea wa CAG.
 
Sijawauliza CHADEMA, nimekuuliza wewe.

Kwa hiyo unakubali kwamba umeandika uliyoandika si kwa sababu hupendi kuona mtu yeyote anawekwa juu asiguswe kama "Mungu" (ingekuwa hivyo, ungekubali kanuni hii hata kwa Magufuli, maana yeye si Mungu) ?

Unakubali kwamba, umeandika uliyoandikwa kumhusu CAG kwa sababu zako za kisiasa tu kumlenga CAG, si kutokana na imani ya kifalsafa iliyojikita kwa kina zaidi ya siasa za majitaka kuchafuana?

Kwa nini unaikubali kanuni kwa CAG, halafu kwa Magufuli huikubali?

Isn't that a double standard?
Kama ni hivyo hata mimi sijamtaja Dr Magufuli nimemzungumzia CAG!

Ungekuwa mtu makini usingediriki kusema nimemshambulia CAG kwa sababu hakuna pahala nilipomshambulia ila kwa sababu ya jazba za kisiasa zilizokuelemea binafsi nimekuelewa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unakubali au hukubali kwamba mtu yeyote asiwekwe juu kama "Mungu" ?
 
Mungu anabaki kuwa Mungu hilo hata Nyani Ngabu analijua kuwa hakuna wa kufananishwa na Mungu!
Sasa kwa nini imekuwa vigumu sana kwako kukubali "kanuni yangu ya kwamba mtu asifanywe haguswi kama "Mungu" inatamalaki kwa mtu yeyote, mpaka Magufuli" ?

Au Magufuli kwako ni Mungu?
 
Sasa kwa nini imekuwa vigumu sana kwako kukubali "kanuni yangu ya kwamba mtu asifanywe haguswi kama "Mungu" inatamalaki kwa mtu yeyote, mpaka Magufuli" ?

Au Magufuli kwako ni Mungu?
Mimi namjadili CAG so usinilazimishe kumjadili mtu mwingine, wewe ni mkongwe hapa Jf unaweza kuanzisha thread ya huyo unayemtaka na wanabodi watachangia huko.......acha kukariri!
 
Mimi namjadili CAG so usinilazimishe kumjadili mtu mwingine, wewe ni mkongwe hapa Jf unaweza kuanzisha thread ya huyo unayemtaka na wanabodi watachangia huko.......acha kukariri!
Jibu hoja kamanda acha hizo staili za maharage kurukaruka yakidhani hayatatulia yakiiva!
 
Mimi namjadili CAG so usinilazimishe kumjadili mtu mwingine, wewe ni mkongwe hapa Jf unaweza kuanzisha thread ya huyo unayemtaka na wanabodi watachangia huko.......acha kukariri!
This is exactly my point.

Unamjadili mtu badala ya kujadili kanuni.

Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people.

You my friend, have a small mind.
 
Kwa nini unakiita kitabu kizuri?
Sijakiita kitabu kizuri, nimekiita "kitabu kizuri". Kuna tofauti.

Unaponisoma naomba umakini, mpaka alama za kunukuu zina maana yake.Izingatiwe.
 
Back
Top Bottom