Tusikufuru CAG ni binadamu siyo Mungu!

Tusikufuru CAG ni binadamu siyo Mungu!

Nimetoa mfano tu lakini nakushukuru kwa kuongeza nyama kumbe hata wanaccm wanamkosoa Rais Magufuli.
Hiyo ndio CCM bhana baba wa demokrasia!
🙂🙂

Ila ww tu ndo unasifu na kutukuza. Tupe siri basi nasi tuone kam itatupendeza
 
Mm napenda tujadiliane kuutafuta ukweli. Kitu gani kinakufany uupende na kuuenzi huu utawala?
Mkuu mimi ni mwanaccm hivyo nakipenda chama changu pamoja na serikali yake.
Pili nauenzi utawala huu kwa sababu umejikita katika kuleta maendeleo ya kweli, hata mkosoaji mkuu wa serikali kwa sasa mh Zitto amekiri juzi kuwa serikali inafanya kazi kubwa katika kutuletea maendeleo ya kweli!
 
Lakn mkuu, ebu vua koti la chama tuwe huru kuitazama na kuijadili Tanzania. Nchi inaenda sawa?
 
Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.

Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.

Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.

Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Hata magu naye si mungu hata asiguswe ni wa kawaida kama maraisi wengine tu ,upo sahihi.
 
Sijakiita hivyo.

That is a sarcastic quote, hence the quotation marks.

Apparently, sarcasm is not your strong suit.
Ndiyo sababu ya swali langu kutaka kuelewa kwa nini umetumia hiyo sarcastic quote kwa kukiita "kitabu kizuri".
Kwa nini?
 
Because that is an absolute statement describing a relativistic tome.

It's a dig. You dig?
 
Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.

Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.

Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.

Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Mbona husemi rais wa Tanzania watu wanamwona kama Mungu mtu ambaye hakosei kitu
 
Jamaa anamuogopa Magufuli hata kuandika tu hapa kwamba Magufuli anaweza kukosea naye, kwani si Mungu, anaogopa.

Aisee nimeshangaa sana nimefuatilia comments ili nione kama kunasehememu ataadmit hata magufuli sio kama mungu na yeye anakosea, jamaa kagoma kabisa kukubali, TUNARUDI KULE KULE, fear is stronger than love na hii ni sababu NJAA NI KALI SANA...me simlaumu sana sababu ni either hajasoma shule, au ananjaa kali sasa atakula wapi jaman if he goes agaist hata kama ni kweli ?... mzee endelea kutetea kibarua chako
 
Back
Top Bottom