sie tunaopenda wanawake utakuwa hutufanyii haki..kuna demu gani ataenda kwenda mamabo ya siasa?
hebu tupe nafasi mzee...achana na ganda la CCM...kwa taarifa yako wenye nchi ni watoto wa akina Malecela, Kawawa, Mkapa, Kikwete ,Rupia ect. Tafuta pesa, invest kiduchu bongo, hustle na biashara zako States, tafuta some nice ass Latina ..ukiweza mwife kabisaa and most importantly what you need is this:
and this:
and how can you forget this:
sasa haya mambo ya kuandamna ect etc waachie hao wanaojidai wanaipenda sana hiyo nchi kuliko baba yako na mama yako ambao mpaka leo hawajalipwa pesa za EAST AFRICAN COMMUNITY ...acha bwana...hivi wewe unajua kwa nini KINJE kapewa TENDA kila kona DAR?
chill out man
Brazameni,
Sababu za nguvu sana kwa nini hujali mpango wa kuandamana. Tatizo la uchambuzi wako umezihamishia kwangu pia. Ukijifunza kuto ku assume utakuwa na uchambuzi mzuri sana.
Don't assume kwamba watu wote hawana hizo investment unazonishauri nitafute.
Don't assume kwamba mimi ni mwanamme, na natafuta nice Latina a## kama wewe.
Don't assume kwamba wote tuna anjia passport ya Kinyamwezi.
Don't assume kwamba huyu unae msoma hapa sio tajiri wa hizo hela ambazo ndio kwanza unaanza kuzianjia
Don't assume kwamba watu wote wanaitoa kwa Biashara. Kuna watu wana mikazi ya nguvu kuliko hotdog stands!
Don't assume kwamba madem hawapendi Siasa
Don't assume anything.
Usinishauri mimi nisijali. Sema wewe hujali kwa sababu ya hizi na zile na pesa, na Latina a## na Nondo ya US, na Hotdog Stand yako, na kadhalika. Hapo nisingeweza kusema lolote. Lakini usinishauri mimi kwa vitu ambavyo hujui kama navipenda, au kama navipenda, sina tayari.
Don't assume anything!
Wana JF walioko Marekani waende kuandamana nje ya Ubalozi au Nyumbani kwa Billal DC kuulizia nini kinaendelea kuhusu 'kifo cha Billal' au kutafutwa kwa Billal, kama wanamtafuta, na 'Mwili wa Marehemu,' au hali ya Mgonjwa.
Tusipoangalia tutageuka wataalam tunaokaa kwenye viti vyenye mikono tukikosoa wakati wengine wanafanya kazi wakikosea. Tutakuwa 'arm chair critics.' Hii ni nafasi pekee, yaani yakipekee, kuonyesha kwamba tunaweza kuinuka kwenye viti vyetu.
Sio kitu kidogo kuwataka watu wasafiri kwenda DC, hususan katika nyakati hizi za Gasoline ya $4. Lakini wiki ijayo Memorial Day, lazima kutakuwa na pati ya Watanzania aidha Ohio, au DC au Texas na watu 'watajimwaga.'
Ili kuhudhuria hizi pati, watu watajikoki, wata renti magari, matapanda ndege, watakaa mahotelini, watanunua mavazi mapya, watalewa saaaaaana. Al muradi wafurahi. Tunaweza tuka forgo pati mwaka huu for the sake of our country? Kama ni mwana JF, lazima unajali mambo ya nchi Bongo na Siasa kidogo. Maana hapa hatu chati chati sana udaku. Sio Facebook hapa. Ni Madume na Majike yanayo jali yako hapa.
Sasa, tuwatolee uvivu. Kama tunamaanisha "Kumkoma Nyani Giladi," watu waende Ubalozini na Nyumbani kwa Billal waka rally kutaka kujua nini kinaendelea. Hata tusipojua, tutakuwa tumetuma ujumbe Nguvu Zilizopo. Na kuanzia leo hawa Powers That Be watajua Jamii Forums sio watoto wa shule ambao hawana vya muhimu vya kufanya zaidi ya kucheza cheza na Komputa. Bali ni watu wenye uchungu na nchi yao. Na ubalozi nao utaamka. Siku ukipiga simu kuulizia kama wameshughulikia Pasi yako wata dili na wewe professionally. Na Rais wa nchi akiwa na Mkutano na Watanzania Marekani basi watawatangazia Watanzania wanaoishi Marekani - kitu kidogo kuliko vyote wanacho weza kufanya, angalau kutuzuga zuga kwamba wanafanya ka kazi pale!
Kama response ikifikia namba ya kuridhisha, na kama "Sirikali" bado inatumwagia mchanga machoni kuhusu hiki 'kifo' katika siku chache zijazo, basi kazi hii ifanyike Memorial Weekend, Jumamosi, May 23, 2008.
Kibali cha ku rally kitafutwe? Mabango ya Jamii Forums yatengenezwe?
Mtakwenda?
kama tunafikiri unaweza kukaa hapo us ukiota kupata dola, na us passport ili utorokee majuu na wakati huo huo, unataka mabadiliko huku nyumbani bila wewe kushiriki sahau kila kitu
Nasapoti hii issue wakuu!
duh! pundit utaua ndugu yangu...
Unajua sie wengine siasa hatuziwezi ndio maana tukamua kukaa pembeni. Hiyo petition kama tayari ipo online tutasaini lakini hilo la kwenda kwenye maandamano mie naomba nijitoe sie wengine ndugu zetu hawala hili wala lile, achilia huo ubavu wa kuwekeana ubav u na vijana wa R.O
THATS WHATS UP MA NIGGA!BRAZAMENI mimi nakuelewa, ndiyo maana nikakutetea kwa sababu falsafa zako ni simple na kweli.Tukitaka kupata albam mpya ya Mariah tunajua wa kumtafuta, BRAZAMENI.Tukitaka 25% discount coupons za ile $125 Nike, tumtafute nani? BRAZAMENI.Tukitaka picha za Hollywood na scoop za The Wire, specialist wetu BRAZAMENI.BRAZAMENI hana ufarisayo wala some phoney baloney.
Ukileta longo longo kuwa wewe una uchungu sana na taifa na hili na lile BRAZAMENI anakuonyesha vitu vitatu vya kutafuta, Blue Magic Book, The Greenback na kidosho cha kilatina.Habari za siasa BRAZAMENI utamboa tu, kwa hiyo mie hata hiyo petition usipo sign wala sikushikii bango.
Mimi naongelea wale kila siku tunaopigia kelele ufisadi lakini ikifika wakati wa kuandamana kila mtu yuko Columbus.Hawa ndio nawataka mimi.They have to walk the walk, not only talk the talk.Talk is cheap.
Unajua sie wengine siasa hatuziwezi ndio maana tukamua kukaa pembeni. Hiyo petition kama tayari ipo online tutasaini lakini hilo la kwenda kwenye maandamano mie naomba nijitoe sie wengine ndugu zetu hawala hili wala lile, achilia huo ubavu wa kuwekeana ubav u na vijana wa R.O