Tusiende kwenye Pati ya Kimarekani Ohio; Twendeni DC Ubalozini/Kwa Billal tuka rally!

Kuhani

JF-Expert Member
Apr 2, 2008
2,944
64
Wana JF walioko Marekani waende kuandamana nje ya Ubalozi au Nyumbani kwa Billal DC kuulizia nini kinaendelea kuhusu 'kifo cha Billal' au kutafutwa kwa Billal, kama wanamtafuta, na 'Mwili wa Marehemu,' au hali ya Mgonjwa.

Tusipoangalia tutageuka wataalam tunaokaa kwenye viti vyenye mikono tukikosoa wakati wengine wanafanya kazi wakikosea. Tutakuwa 'arm chair critics.' Hii ni nafasi pekee, yaani yakipekee, kuonyesha kwamba tunaweza kuinuka kwenye viti vyetu.

Sio kitu kidogo kuwataka watu wasafiri kwenda DC, hususan katika nyakati hizi za Gasoline ya $4. Lakini wiki ijayo Memorial Day, lazima kutakuwa na pati ya Watanzania aidha Ohio, au DC au Texas na watu 'watajimwaga.'

Ili kuhudhuria hizi pati, watu watajikoki, wata renti magari, matapanda ndege, watakaa mahotelini, watanunua mavazi mapya, watalewa saaaaaana. Al muradi wafurahi. Tunaweza tuka forgo pati mwaka huu for the sake of our country? Kama ni mwana JF, lazima unajali mambo ya nchi Bongo na Siasa kidogo. Maana hapa hatu chati chati sana udaku. Sio Facebook hapa. Ni Madume na Majike yanayo jali yako hapa.

Sasa, tuwatolee uvivu. Kama tunamaanisha "Kumkoma Nyani Giladi," watu waende Ubalozini na Nyumbani kwa Billal waka rally kutaka kujua nini kinaendelea. Hata tusipojua, tutakuwa tumetuma ujumbe Nguvu Zilizopo. Na kuanzia leo hawa Powers That Be watajua Jamii Forums sio watoto wa shule ambao hawana vya muhimu vya kufanya zaidi ya kucheza cheza na Komputa. Bali ni watu wenye uchungu na nchi yao. Na ubalozi nao utaamka. Siku ukipiga simu kuulizia kama wameshughulikia Pasi yako wata dili na wewe professionally. Na Rais wa nchi akiwa na Mkutano na Watanzania Marekani basi watawatangazia Watanzania wanaoishi Marekani - kitu kidogo kuliko vyote wanacho weza kufanya, angalau kutuzuga zuga kwamba wanafanya ka kazi pale!

Kama response ikifikia namba ya kuridhisha, na kama "Sirikali" bado inatumwagia mchanga machoni kuhusu hiki 'kifo' katika siku chache zijazo, basi kazi hii ifanyike Memorial Weekend, Jumamosi, May 23, 2008.

Kibali cha ku rally kitafutwe? Mabango ya Jamii Forums yatengenezwe?

Mtakwenda?
 
sie tunaopenda wanawake utakuwa hutufanyii haki..kuna demu gani ataenda kwenda mamabo ya siasa?

hebu tupe nafasi mzee...achana na ganda la CCM...kwa taarifa yako wenye nchi ni watoto wa akina Malecela, Kawawa, Mkapa, Kikwete ,Rupia ect. Tafuta pesa, invest kiduchu bongo, hustle na biashara zako States, tafuta some nice ass Latina ..ukiweza mwife kabisaa and most importantly what you need is this:

passport2.jpg

and this:

newmoney.jpg

and how can you forget this:

wwdnh2.jpg

sasa haya mambo ya kuandamna ect etc waachie hao wanaojidai wanaipenda sana hiyo nchi kuliko baba yako na mama yako ambao mpaka leo hawajalipwa pesa za EAST AFRICAN COMMUNITY ...acha bwana...hivi wewe unajua kwa nini KINJE kapewa TENDA kila kona DAR?

chill out man
 
The Street smart barebone philosophy of BRAZAMENI.

This is a tall order for us, watu hawana courage ya kusaini petition tu kwa hofu ya kumpa Rashid Othman list ya "wahaini", itakuwa kuandamana na kuwapa video evidence kabisa.

Kama tunaorganize hii vizuri count me in.But I seriously doubt people have the guts, and some of us are too deep in the street smart philosohy of BRAZAMENI.
 
sie tunaopenda wanawake utakuwa hutufanyii haki..kuna demu gani ataenda kwenda mamabo ya siasa?

hebu tupe nafasi mzee...achana na ganda la CCM...kwa taarifa yako wenye nchi ni watoto wa akina Malecela, Kawawa, Mkapa, Kikwete ,Rupia ect. Tafuta pesa, invest kiduchu bongo, hustle na biashara zako States, tafuta some nice ass Latina ..ukiweza mwife kabisaa and most importantly what you need is this:

passport2.jpg

and this:

newmoney.jpg

and how can you forget this:

wwdnh2.jpg

sasa haya mambo ya kuandamna ect etc waachie hao wanaojidai wanaipenda sana hiyo nchi kuliko baba yako na mama yako ambao mpaka leo hawajalipwa pesa za EAST AFRICAN COMMUNITY ...acha bwana...hivi wewe unajua kwa nini KINJE kapewa TENDA kila kona DAR?

chill out man

Brazameni,

Sababu za nguvu sana kwa nini hujali mpango wa kuandamana. Tatizo la uchambuzi wako umezihamishia kwangu pia. Ukijifunza kuto ku assume utakuwa na uchambuzi mzuri sana.

Don't assume kwamba watu wote hawana hizo investment unazonishauri nitafute.

Don't assume kwamba mimi ni mwanamme, na natafuta nice Latina a## kama wewe.

Don't assume kwamba wote tuna anjia passport ya Kinyamwezi.

Don't assume kwamba huyu unae msoma hapa sio tajiri wa hizo hela ambazo ndio kwanza unaanza kuzianjia

Don't assume kwamba watu wote wanaitoa kwa Biashara. Kuna watu wana mikazi ya nguvu kuliko hotdog stands!

Don't assume kwamba madem hawapendi Siasa

Don't assume anything.

Usinishauri mimi nisijali. Sema wewe hujali kwa sababu ya hizi na zile na pesa, na Latina a## na Nondo ya US, na Hotdog Stand yako, na kadhalika. Hapo nisingeweza kusema lolote. Lakini usinishauri mimi kwa vitu ambavyo hujui kama navipenda, au kama navipenda, sina tayari.

Don't assume anything!
 
WhitakerForest_Last-1.jpg
 
JF nuksi

yaani mmeamua kuturn around the whole thing au vipi? anyway Snoop approves this thread

20-0930128406T.jpg
 
Mi nilisema, reaction ya watu kwa hii thread inaonyesha commitment tuliyonayo when it comes to acting as opposed to blabbering labba labba

Kuhani Mkuu the dictator.

Setting the agenda like Caesar and Amin.
bust-of-caesar.jpg
 
Wana JF walioko Marekani waende kuandamana nje ya Ubalozi au Nyumbani kwa Billal DC kuulizia nini kinaendelea kuhusu 'kifo cha Billal' au kutafutwa kwa Billal, kama wanamtafuta, na 'Mwili wa Marehemu,' au hali ya Mgonjwa.

Tusipoangalia tutageuka wataalam tunaokaa kwenye viti vyenye mikono tukikosoa wakati wengine wanafanya kazi wakikosea. Tutakuwa 'arm chair critics.' Hii ni nafasi pekee, yaani yakipekee, kuonyesha kwamba tunaweza kuinuka kwenye viti vyetu.

Sio kitu kidogo kuwataka watu wasafiri kwenda DC, hususan katika nyakati hizi za Gasoline ya $4. Lakini wiki ijayo Memorial Day, lazima kutakuwa na pati ya Watanzania aidha Ohio, au DC au Texas na watu 'watajimwaga.'

Ili kuhudhuria hizi pati, watu watajikoki, wata renti magari, matapanda ndege, watakaa mahotelini, watanunua mavazi mapya, watalewa saaaaaana. Al muradi wafurahi. Tunaweza tuka forgo pati mwaka huu for the sake of our country? Kama ni mwana JF, lazima unajali mambo ya nchi Bongo na Siasa kidogo. Maana hapa hatu chati chati sana udaku. Sio Facebook hapa. Ni Madume na Majike yanayo jali yako hapa.

Sasa, tuwatolee uvivu. Kama tunamaanisha "Kumkoma Nyani Giladi," watu waende Ubalozini na Nyumbani kwa Billal waka rally kutaka kujua nini kinaendelea. Hata tusipojua, tutakuwa tumetuma ujumbe Nguvu Zilizopo. Na kuanzia leo hawa Powers That Be watajua Jamii Forums sio watoto wa shule ambao hawana vya muhimu vya kufanya zaidi ya kucheza cheza na Komputa. Bali ni watu wenye uchungu na nchi yao. Na ubalozi nao utaamka. Siku ukipiga simu kuulizia kama wameshughulikia Pasi yako wata dili na wewe professionally. Na Rais wa nchi akiwa na Mkutano na Watanzania Marekani basi watawatangazia Watanzania wanaoishi Marekani - kitu kidogo kuliko vyote wanacho weza kufanya, angalau kutuzuga zuga kwamba wanafanya ka kazi pale!

Kama response ikifikia namba ya kuridhisha, na kama "Sirikali" bado inatumwagia mchanga machoni kuhusu hiki 'kifo' katika siku chache zijazo, basi kazi hii ifanyike Memorial Weekend, Jumamosi, May 23, 2008.

Kibali cha ku rally kitafutwe? Mabango ya Jamii Forums yatengenezwe?

Mtakwenda?

Nasapoti hii issue wakuu!
 
kama tunafikiri unaweza kukaa hapo us ukiota kupata dola, na us passport ili utorokee majuu na wakati huo huo, unataka mabadiliko huku nyumbani bila wewe kushiriki sahau kila kitu
 
The admirable beauty of "The barebone Philosophy of BRAZAMENI" is that he not only has never pretended to be for anything like a struggle for a better Tanzania, but also he is unashamedly materialistic with no pretences.

I am leaning towards applauding the honesty even though the indifference is repelling.

For all the brothers and sisters crying ufisadi this ufisadi that (some in the very DC Metro area) the ball is in your court.Tujue who can talk the talk and walk the walk.
 
Nasapoti hii issue wakuu!

JMUSHI, ni wewe nadhani ulipitisha petition humu jana na juzi.

Pundit kasema watu wameshindwa kusaini petition - kusaini tu - halafu Mushi ataipeleka mbele, wameogopa, itakuwa watu kwenda DC wakapigwa picha na Said Mwema mtafuta wahaini?

Poa, twendeni kwenye Pati. Lakini tusisikie kokolo sijui Billal kaiba, Chenge kafanya hivi na vile. Waache wapete sisi tuendelea kuchati humu hoping Kikwete na dunia nzima wanasoma Jamii Forums!
 
duh! pundit utaua ndugu yangu...

Unajua sie wengine siasa hatuziwezi ndio maana tukamua kukaa pembeni. Hiyo petition kama tayari ipo online tutasaini lakini hilo la kwenda kwenye maandamano mie naomba nijitoe sie wengine ndugu zetu hawala hili wala lile, achilia huo ubavu wa kuwekeana ubav u na vijana wa R.O
 
BRAZAMENI mimi nakuelewa, ndiyo maana nikakutetea kwa sababu falsafa zako ni simple na kweli.Tukitaka kupata albam mpya ya Mariah tunajua wa kumtafuta, BRAZAMENI.Tukitaka 25% discount coupons za ile $125 Nike, tumtafute nani? BRAZAMENI.Tukitaka picha za Hollywood na scoop za The Wire, specialist wetu BRAZAMENI.BRAZAMENI hana ufarisayo wala some phoney baloney.

Ukileta longo longo kuwa wewe una uchungu sana na taifa na hili na lile BRAZAMENI anakuonyesha vitu vitatu vya kutafuta, Blue Magic Book, The Greenback na kidosho cha kilatina.Habari za siasa BRAZAMENI utamboa tu, kwa hiyo mie hata hiyo petition usipo sign wala sikushikii bango.

Mimi naongelea wale kila siku tunaopigia kelele ufisadi lakini ikifika wakati wa kuandamana kila mtu yuko Columbus.Hawa ndio nawataka mimi.They have to walk the walk, not only talk the talk.Talk is cheap.
 
masela Haya Ndio Mambo Tunayaitaji:msiogope Anadamaneni Uko
uko Hata Wakiwakamata Na Kuwarudisha Kwa Sababu Ya Kuongeza Muda Jela Za Uku Shwari...kwanza Tangu Jumatatu Serikali Imekabidhi Madaraka Ya Mahabusu Kwa Magereza..hamna Karandika Tena Siku Hizi Ukija Unapokelewa Na
gari Lenye A/c Mpaka Segerea:hakuna Karandika Tena Uku Wana Jf::::::::
tusiogope Kurudi Nyumbani:::tuogope Baba Na Mama Wataendeleaje Kuishi Kwa Miaka Ijayo
 
BRAZAMENI mimi nakuelewa, ndiyo maana nikakutetea kwa sababu falsafa zako ni simple na kweli.Tukitaka kupata albam mpya ya Mariah tunajua wa kumtafuta, BRAZAMENI.Tukitaka 25% discount coupons za ile $125 Nike, tumtafute nani? BRAZAMENI.Tukitaka picha za Hollywood na scoop za The Wire, specialist wetu BRAZAMENI.BRAZAMENI hana ufarisayo wala some phoney baloney.

Ukileta longo longo kuwa wewe una uchungu sana na taifa na hili na lile BRAZAMENI anakuonyesha vitu vitatu vya kutafuta, Blue Magic Book, The Greenback na kidosho cha kilatina.Habari za siasa BRAZAMENI utamboa tu, kwa hiyo mie hata hiyo petition usipo sign wala sikushikii bango.

Mimi naongelea wale kila siku tunaopigia kelele ufisadi lakini ikifika wakati wa kuandamana kila mtu yuko Columbus.Hawa ndio nawataka mimi.They have to walk the walk, not only talk the talk.Talk is cheap.
THATS WHATS UP MA NIGGA!
cassidy.jpg
 
Unajua sie wengine siasa hatuziwezi ndio maana tukamua kukaa pembeni. Hiyo petition kama tayari ipo online tutasaini lakini hilo la kwenda kwenye maandamano mie naomba nijitoe sie wengine ndugu zetu hawala hili wala lile, achilia huo ubavu wa kuwekeana ubav u na vijana wa R.O

Bonge la point. Ndo maana nikasema ukiacha ku assume utaweza kunishawishi. Nilijua nimeona kipaji!

Unapoanza kunishauri nisijali mambo ya nchi yangu bali nika invest wakati hunijui ndio unaanza kuharibu.

You see, nikichukua nondo ya Kinyamwezi nitashindwa kugombea Uungwana, siku nikijisikia kama mambo yenyewe ndio haya, anachofanya Mungwana hata mimi naweza! Nikiwa na ngoma za Kilatini kulia na kushoto ni kashfa kwa Mgombea wa Uungwana, siku za mbele, japo Muungwana alipeta. (Usisahau, wewe hupendi Siasa, mimi napenda Siasa). Njozi za Bling Bling na pati za Ohio wengine tulizifanya miaka ile, sasa hivi baadhi yetu tume pass the baton kwa wengine, ambao inawezekana ni kina nyinyi. Kwa hiyo endeleza jahazi mtu wangu, take over!

Unaona kwa nini vitu vinavyo mfaa BRAZAMENI vinaweza kuwa havimfai Kuhani Mkuu?

Ndo nilicho kuwa naongelea, don't assume anything. Usinishauri kutafuta vitu ambavyo wewe ndio umeanza kuvitafuta.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom