Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Wana JF walioko Marekani waende kuandamana nje ya Ubalozi au Nyumbani kwa Billal DC kuulizia nini kinaendelea kuhusu 'kifo cha Billal' au kutafutwa kwa Billal, kama wanamtafuta, na 'Mwili wa Marehemu,' au hali ya Mgonjwa.
Tusipoangalia tutageuka wataalam tunaokaa kwenye viti vyenye mikono tukikosoa wakati wengine wanafanya kazi wakikosea. Tutakuwa 'arm chair critics.' Hii ni nafasi pekee, yaani yakipekee, kuonyesha kwamba tunaweza kuinuka kwenye viti vyetu.
Sio kitu kidogo kuwataka watu wasafiri kwenda DC, hususan katika nyakati hizi za Gasoline ya $4. Lakini wiki ijayo Memorial Day, lazima kutakuwa na pati ya Watanzania aidha Ohio, au DC au Texas na watu 'watajimwaga.'
Ili kuhudhuria hizi pati, watu watajikoki, wata renti magari, matapanda ndege, watakaa mahotelini, watanunua mavazi mapya, watalewa saaaaaana. Al muradi wafurahi. Tunaweza tuka forgo pati mwaka huu for the sake of our country? Kama ni mwana JF, lazima unajali mambo ya nchi Bongo na Siasa kidogo. Maana hapa hatu chati chati sana udaku. Sio Facebook hapa. Ni Madume na Majike yanayo jali yako hapa.
Sasa, tuwatolee uvivu. Kama tunamaanisha "Kumkoma Nyani Giladi," watu waende Ubalozini na Nyumbani kwa Billal waka rally kutaka kujua nini kinaendelea. Hata tusipojua, tutakuwa tumetuma ujumbe Nguvu Zilizopo. Na kuanzia leo hawa Powers That Be watajua Jamii Forums sio watoto wa shule ambao hawana vya muhimu vya kufanya zaidi ya kucheza cheza na Komputa. Bali ni watu wenye uchungu na nchi yao. Na ubalozi nao utaamka. Siku ukipiga simu kuulizia kama wameshughulikia Pasi yako wata dili na wewe professionally. Na Rais wa nchi akiwa na Mkutano na Watanzania Marekani basi watawatangazia Watanzania wanaoishi Marekani - kitu kidogo kuliko vyote wanacho weza kufanya, angalau kutuzuga zuga kwamba wanafanya ka kazi pale!
Kama response ikifikia namba ya kuridhisha, na kama "Sirikali" bado inatumwagia mchanga machoni kuhusu hiki 'kifo' katika siku chache zijazo, basi kazi hii ifanyike Memorial Weekend, Jumamosi, May 23, 2008.
Kibali cha ku rally kitafutwe? Mabango ya Jamii Forums yatengenezwe?
Mtakwenda?