karibu......
...mi nilipata ya km 114 ila sasa ni kama mpya kabisaaa iko well serviced na inadunda mzigo balaa..
Mkuu RRONDO ulichosema ni sahihi kabisa....mimi.nimeshuhudia last year nilikuwa natafuta gati flani hivi...nikaenda show room moja pale karibu na Zantel pale nikazikuta zipo..kucheki body imechoka kila kutu nini mwaka 2000...odometer sasa kim 35000 tu..nikase.a hapa sasa hii wamezishusha..na hapa mjini wengi wanafanza hayo mambo
So kwenye kununua gari physical inspection muhimu sana...watu tuondokane na kasumba ya namba na KM kama vigezo pekee....mi nilipata ya km 114 ila sasa ni kama mpya kabisaaa iko well serviced na inadunda mzigo balaa..
Service ndio mpango mzima. Wenzetu wanaotumia hayo magari kutoka nje wanathamini sana matengenezo. Gari inaweza kuja na odo 160,000 lakini ukiiangalia iko safi kabisa kila kitu. Hizi warehouse za magari huku uswazi sio za kuziamini sana hasa linapokuja suala la odometer na service. Ni ushauri mzuri sana kutoka kwa RRONDO

Mi nadhani hizo km sio Ishu sana Kama gari inakuwa regularly serviced maana mi nishaona gari Noah ina mpaka km 400,000 na inafanya kazi vizuri tu.
Sent from my iPad using JamiiForums
Kabisa.Mi nadhani hizo km sio Ishu sana Kama gari inakuwa regularly serviced maana mi nishaona gari Noah ina mpaka km 400,000 na inafanya kazi vizuri tu.
Sent from my iPad using JamiiForums
Mi nadhani hizo km sio Ishu sana Kama gari inakuwa regularly serviced maana mi nishaona gari Noah ina mpaka km 400,000 na inafanya kazi vizuri tu.
Sent from my iPad using JamiiForums
Mimi hivUmenigusa! Mi niliagiza gari ya 2002 mwaka 2012 ilikua na km 30,000. Baada ya misele sasa ina km 50,000. Ila iko fresh nasubiria siku I jump kutoka 50,000km to 200,000km
Umenigusa! Mi niliagiza gari ya 2002 mwaka 2012 ilikua na km 30,000. Baada ya misele sasa ina km 50,000. Ila iko fresh nasubiria siku I jump kutoka 50,000km to 200,000km
Mimi hiv
yo hivyo nasubiria pia kwani yangu bado inadunda, lakini tukumbuke kuwa wenzentu wanatumia magari yao kwenda hadi vituo vya basi / train halafu wanapaki hapo wanapanda usafiri wa umma hadi jioni ndo wanakuja kuchukua magari yao kurudi nyumbani. hivyo Km ndogo yawezekana. Nilitaka niulize mleta mada hivi kama umelipia inspection huko Japani je nao wanachakachua ama la? Au hili la odometer hawaliangalii?
Tujiulize mfano haya mabasi hayabta mikoani huwa yanatembea km ngapi? Hata haya mapya ma you tong baada ya mwaka yanakuwa yamecover ngapi na unakuta bado mapya kama yanafanyiwa service nZuri...same applies kwa magari mengine. Ila elimu kwa wanunuzi muhimu sana
ha ha ha kaka ukiona km za malori used utachoka kama sio mzoefu hununui!!! kawaida sana laki 6 laki 7.....hayo madude wanapishana madereva tu yenyewe yanaenda tu.