Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa kuharibu our medium of exchange.
Kwa upande wa benki kuu, sijui kwa vile huyu Gavana ni Mwanasheria pia nae mkazo wake uno kwenye sheria ili hali anatakiwa aangalie uhalibifu huo wa noti na sarafu kwa jicho la kiuchumi pia! Mimi naona watu ukiwaona wanazichezea sarafu za nchi na noti zio ujue kuwa thamani yake ina walakini.
Nategemea Gavana wa BOT will take it as a wake up call na kuchukua hatua za kuimalisha fedha yetu badala ya kuwatisha Watu na kifungo!!! Wake up Gavana, stop that glass of wine and strengthen our shilling!