poaaaAgalia juu huko kuna mtu nmempa link
poaaaAgalia juu huko kuna mtu nmempa link
Download from the above linknsaidie nanma ya kuinstall... [steps]
mi mbna na reply vzri tuuuHamna kitu...kwanza huwez kureply kwa specific sender hasa kwenye group
mkuu kila nikijarib kuingia kweny hiyo link inanambia "connection issue- please double check your APN/adblock settings
mkuu mpk sasa sijaweza ku'update hii kitu..link haifunguki
kweli hilo tatizo huwa inalo hiyo gbSio yenyewe mm nimeifuta sms unatumia haziingii kwa wakati na ulituma haziend kwa wakati
Tembelea blog hii>>> RIYADI BHAI cheki katika populars post ipo namba mbilimkuu mpk sasa sijaweza ku'update hii kitu..link haifunguki
nimeinstall ila sioni cha maana iko kama wasap ya kawaida tu sasa sijui nakosea wapi mkuu Yumbayumba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera mkuunimejarbu as nimeweza wakuu yaan hii ni noumaaaa now gbwasap ndio chai yang chakula mchana ucku juice soda maji yangu kamwe ctokaa niaxhe jamii forums mpaka kufa kwangu nimwkula kiapo OVAAAA
Yah hapa ndio wamenikosha kabisaaaaaaUnaeza lock certain chat Mtu asione chatting yenu
Nenda Gb setting >>>>>themes then chagua uipendayonimeinstall ila sioni cha maana iko kama wasap ya kawaida tu sasa sijui nakosea wapi mkuu Yumbayumba