Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Sio hivyo tu unabadili chochote unachokionaNiyaukweli sanaa unaweza kubadili colour ya icon yakoView attachment 430131View attachment 430132
Sio hivyo tu unabadili chochote unachokionaNiyaukweli sanaa unaweza kubadili colour ya icon yakoView attachment 430131View attachment 430132
Ndo lete hayo maujanjaaSio hivyo tu unabadili chochote unachokiona
Maujanjaa yapi niyaletee?Ndo lete hayo maujanjaa
Noma snGbwhatsapp ukilamba tu utamu wake huachi aisee
hebu nipe hayo mautunduGbwhatsapp ukilamba tu utamu wake huachi aisee
Pole Sana mkuu kama unavyojua mitandao lkn hata mmi pia ilisumbua lkn mwisho wa siku ilikubali hadi leo huniambii kitunimedownload apa zaid ya mara kumi ad imekataa wamenipa guid nkadanlod gbxap downloader nkatumia nayo pia imegoma natumia tecno p5 nisaidien wadau
2. Theme zake za ajabu ajabu...
Hahahaaaa we kajamaa, labda sio gbwhatsaap ninayoijua mmHamna kitu...kwanza huwez kureply kwa specific sender hasa kwenye group
Unaweza sema hujuiHamna kitu...kwanza huwez kureply kwa specific sender hasa kwenye group
Zipo nyingi unachagua unazotaka2. Theme zake za ajabu ajabu...
Pia unaweza uka editZipo nyingi unachagua unazotaka
Mbona inatokea kiarabu sielewi
Ndo ilivo, ila shusha chini kidogo utaona neno download ndo itakudirect sehemu ya kudownloadMbona inatokea kiarabu sielewi