Tushee maujanja ya gbwhatsapp

Tushee maujanja ya gbwhatsapp

Usimdanganye mwenzio. maana yake muda wote unaonekana upo online hata kama hujafungua whatsapp
Hujamuelewa huyo jamaa, anamaanisha kinachofanya msg zichelewe kuingia ni hyo hapo, ukiweka tiki hapo kwenye always online ndio inafanya msg zichelewe, aza waizi kila kitu kipo mwelele
 
Back
Top Bottom