SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 408
- 773
Ila nahisi wewe ni wale wasukuma wa baridi wale, wa mwanamalunde wewe... Sio kwa maandishi hayaEwaaaahh, wewe wakushushe nyegezi utajiongeza mwenyewe kuelekea mwadui kama utatembea au utatumiwa fisi na bibi yako muhimu urudi kwenu..!! 😹😹