Tuseme ukweli tu kuhusu Dar

Tuseme ukweli tu kuhusu Dar

Daslamu jiji letu na nikiwakilishi cha taifa , ila kuna nyumbu zipo dar hazina kazi yoyote ila zipo tu,🤔.

Hizi nyumbu ndizo zinatuchafulia jiji la Dar , hata kimataifa tuna kosa namba za maana 🤔

Yaani yenyewe yapo yapo tu na kijijini hayataki kurudi kisa yanaongea kingereza cha the na this🤔 gadeimm.
Mbona huko kwenu migombani kuna nyumbu wengi tu hawana kazi? Wengine ni pombe tu kutwa nzima mpaka wake zao unyumba wanasaidiwa na raia wa nchi jirani.
 
Hahaha niweke ignore mnywaji mwenye wenge ili usilalamike tena kama ashura wa buza bwashee, ni rahisi mno kama kumsukuma mlevi tu.
Sina haja ya kukuweka kwenye ignore list Mkuu ! Kwa level yako na muda ambao umekuwemo humu, hizi mambo sio za kufanywa na wewe.

Najua upo nyuma ya keyboard lakini nakueleza Kiume kabisa, unafeli na nyuzi zako za qjabu ajabu mara Pisi za JF ni mbovu mara huu uzi kuhusu watu wanaoishi Dar , this is not your level Br.

Pisi za JF na Watu wanaoishi Dar ww wa kuwaanzishia nyuzi kweli ? Acha hizo Kaka , wewe ni mkongwe type ya hizi nyuzi waachie wanaosaka attention sio wewe. Heshima ya I'd yako itaendelea kubaki palepale tu.
 
Back
Top Bottom