Nyuzi zangu zinaachwa kwa sababu mods wameridhia kuziacha wakiona hazifai watafuta wao. nakubali maoni yako na ninapokea bwashee, tatizo akili za kutoa nyuzi kali kama zako ndio sina ila nitajitahidi tu Bwashee 🤔Sina haja ya kukuweka kwenye ignore list Mkuu ! Kwa level yako na muda ambao umekuwemo humu, hizi mambo sio za kufanywa na wewe.
Najua upo nyuma ya keyboard lakini nakueleza Kiume kabisa, unafeli na nyuzi zako za qjabu ajabu mara Pisi za JF ni mbovu mara huu uzi kuhusu watu wanaoishi Dar , this is not your level Br.
Pisi za JF na Watu wanaoishi Dar ww wa kuwaanzishia nyuzi kweli ? Acha hizo Kaka , wewe ni mkongwe type ya hizi nyuzi waachie wanaosaka attention sio wewe. Heshima ya I'd yako itaendelea kubaki palepale tu.
Hapana warudi mkoani wanaongeza joto town na kuchafua hali ya hewa..!!Hahaha kuna chiwawa tuwafanye marafiki tu😅
Bora wewe uko Malinyi unalima, Chiwawa kazi yake kwenda kunya kawe beach..!! 😹Hahahaha uonevu huo😅
😅 kumbe, kwa sasa nimeacha kulima nalelewa na lishangazi limoja ni likubwa kama kibanda cha tigo pesa ðŸ¤Bora wewe uko Malinyi unalima, Chiwawa kazi yake kwenda kunya kawe beach..!! 😹
Ukiona nyuzi zinashuka mfululizo ujue tayari yupo beach mavi anapunga upepo kazi hana.!!
Wewe matraco yaako🤣Hao wasio na kazi kina chiwawa 😹😹
Kmmk 🤣🤣🤣 ndo wewe nini?Bora wewe uko Malinyi unalima, Chiwawa kazi yake kwenda kunya kawe beach..!! 😹
Ukiona nyuzi zinashuka mfululizo ujue tayari yupo beach mavi anapunga upepo kazi hana.!!
Mwendo kasi ziwasombe ziwarudishe mlikotoka tupumue..!! 😹😹Wewe matraco yaako🤣
Aisee bwashee kweli tutalikomboa hili taifa kweli? 😂 😂😅 kumbe, kwa sasa nimeacha kulima nalelewa na lishangazi limoja ni likubwa kama kibanda cha tigo pesa ðŸ¤
Kama wa South Africa sio🤣🤣Mwendo kasi ziwasombe ziwarudishe mlikotoka tupumue..!! 😹😹
Kmmk mwenyewe, uzuri Chiwawa unajijua, lazima ukimbie mbio kuja kujitetea..!! 😹😹Kmmk 🤣🤣🤣 ndo wewe nini?
Aisee, au mpaka ni kuandikie nyuzi ndo tuelewane maana heshima haipo kabisa ewe kitoto cha elf mbiliKmmk mwenyewe, uzuri Chiwawa unajijua, lazima ukimbie mbio kuja kujitetea..!! 😹😹
Ewaaaahh, wewe wakushushe nyegezi utajiongeza mwenyewe kuelekea mwadui kama utatembea au utatumiwa fisi na bibi yako muhimu urudi kwenu..!! 😹😹Kama wa South Africa sio🤣🤣