Tuseme ukweli tu kuhusu Dar

Tuseme ukweli tu kuhusu Dar

Daslamu jiji letu na nikiwakilishi cha taifa , ila kuna nyumbu zipo dar hazina kazi yoyote ila zipo tu,🤔.

Hizi nyumbu ndizo zinatuchafulia jiji la Dar , hata kimataifa tuna kosa namba za maana 🤔

Yaani yenyewe yapo yapo tu na kijijini hayataki kurudi kisa yanaongea kingereza cha the na this🤔 gadeimm.
Dar Hamna Kitu Uchafu Tyu
 
20261017_222208.jpg

Huu mtaa saa mbili asubuhi vijana wako rodi wanakunywa wamechoka vibaya mnoooo
 
Back
Top Bottom