Tusake pesa

Tusake pesa

Leo nimelewa nampigia b mkubwa kilevi levi , anacheka cheka tu , nakunipa maneno ya baraka za kutosha .

Hakuna mwanamke atakupa attention bila pesa wewe kijana mpumbavu 😅😅
Ila niongeze maneno kidogo "saka pesa kwa njia yoyote ile" namaanisha hata za ulimwengu wa roho.
Pakikucha uanze kuomba mods msamaha😂🙌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom