Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 823
- 2,002
Vipaumbele ni muhimu Sana, ukweli mchungu ni kwamba bila Pesa utakuwa kama Panya...
Hapa niko high asf sielewi shem langu nisamehe tu hii week aiseeew😂Shem wangu kabisa. Ww sio wa hivi vihela vidogo vidogo.
😊😊😊. Ww nafas yako kwangu ni kuuubwa sana .Najua unahitaj Kitimoto moja matata sana na TZee .
weekend ndio sawia kwako. 😍😍😍😍
Kidoti cha wanja ba mkali😂Hahahha kaa kwa kutulia 😁
Asante mdogo,, naomba nikupe lipa namba kesho za kuzimua.Sema wallah.
Una wadogo wengi JF.
Mm ngoja nilipe zile Likes unazo nipa kwa Safar 2. Tuma Lipa namba 😊😊😊. Mpesa.
Upo wapi? Mwenyewe nayumba hatari hapa😂Toto la kisukuma na kidoti chako , mjini hapa , leo nipo bar nakichafua mbaya 😁
Ila shem kule uliponipeleka nimeshapakinai. 😊😊😊 maneno maneno mengi sana. Wako serious sana . AaaghKidoti cha wanaja ba mkali😂
Malaya wale achana nao? Mwenyewe unajua siko level hizo shem wangu!Ila shem kule uliponipeleka nimeshapakinai. 😊😊😊 maneno maneno mengi sana. Wako serious sana . Aaagh
Juzi nilipewa maneno ya baraka na ahsante na Mama yangu, Hadi nikataka kulia, mm n ngumu kutoa chozi but juzi ilibaki kidogo nilie, ikabidi nimwambie mama basi nikakata simu...Pesa inaleta Uhuru wa machaguo.Mno , mim mama yangu ni bibi kwa wengine hapa 78 , ila leo nimemtumia mili 5 ya achana na bia za kila sku ana oda yangu , ila mpaka kanichumu😅
Haina mbaya.Asante mdogo,, naomba nikupe lipa namba kesho za kuzimua.
Asante sana
Hivi shem Mimi na my ma’ kama wote tuko millenials inakuwaje?Haina mbaya.
Ila nadhan nadhan we almost the same age.
Mm ni late 1980's. Millennial
Okay shem. Mm nafuata maelekezo yako. M humble.😊😊😊😊Malaya wale achana nao? Mwenyewe unajua siko level hizo shem wangu!
Napenda sana how u are humbled my shem! Nakupendea hapo tu!Okay shem. Mm nafuata maelekezo yako. M humble.😊😊😊😊
Pombe mzee, we elewa tu!Hapo sijaelewa connection ya
1. pesa
2. Kulewa
3. Kuongea na mama na kukupa baraka.
Mie nahisi hata nivuke huku kwenye u elfu kumionea, u lakionea, niwe milionea kabisa, bado mama yangu nikijichanganya atanipa makavu live.
Wow!!!!! Tuunde chama letu tu Haina namnaHaina mbaya.
Ila nadhan nadhan we almost the same age.
Mm ni late 1980's. Millennial
Kama ataweza kunipa idea ya biashara niwekeze Bila mtaji wowote na faida iwe ya chap kwa haraka, bc kweli atakuwa mentor wangu wa nguvu mnoMentor wangu chai ya rangi njoo uongee kwa niaba. Ww role model wetu mm na Mbaga Jr 😊😊😊😊
Kama ataweza kunipa idea ya biashara niwekeze Bila mtaji wowote na faida iwe ya chap kwa haraka, bc kweli atakuwa mentor wangu wa nguvu mno
UTakiwi kubishana na mlevi , labda kama na wewe umelewa.Kwamba mama yako anakupa attention kisa una pesa?
Kipindi anakuzaa huwezi hata kujigeuza, huna chochote zaidi ya makamasi tu, alikufanyia kila kitu na jicho lake muda wote lilikua kwako leo hii ndo unamuwazia hivyo.