Tusake pesa

Tusake pesa

Sasa niombe msamaha ili iweje?
Tule pombe chaulevi mwenzangu vingine vyote ni batili
D7177225-9B85-45D1-B570-0475E7693FC7.jpeg
 
Bwashee alisikika yule doctor pori kuwa ini lina uwezo wa kuchuja bia 2 tu kwa siku , unazingatia hilo lakini?
 
Inatafakarisha,pesa ndiyo kila kitu ukikosa unanyauka kweli maana hata kasupu huwezi kunywa 😀
Kuna aliyewahi kulewa halafu asubuhi unaitaji supu huwezi kununua una buku tu,then unajongea taratibu kwenye mihogo yenye kachumbari nyingi ndiyo inakuwa pona yako.
 
Kweli bwashee, mara moja moja kulewa sio mbaya😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom