Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,513
- 121,869
Safi, ngoja tuone ๐Kwanza hebu muamini mwalimu wako chai ya rangi mwamba alitaka vijana wawili awa mentor.
Jiunge tu. Ana madini sana.
Au unataka uende kwa baharia 1 ๐๐๐๐
Safi, ngoja tuone ๐Kwanza hebu muamini mwalimu wako chai ya rangi mwamba alitaka vijana wawili awa mentor.
Jiunge tu. Ana madini sana.
Au unataka uende kwa baharia 1 ๐๐๐๐
Safi, ngoja tuone ๐
Bwashe wewe hata njiwa huna hao vijana mia moja umewatoa wapiHahahha, bwashee now zaidi ya vijana 100 wanakula kwa kunitegemea mimi mlevi mmoja hapa๐ ๐ ๐
Tayari๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธLeo nimelewa nampigia b mkubwa kilevi levi , anacheka cheka tu , nakunipa maneno ya baraka za kutosha .
Hakuna mwanamke atakupa attention bila pesa wewe kijana mpumbavu ๐ ๐
Naona mleta uzi ni mgeni kwakoUTakiwi kubishana na mlevi , labda kama na wewe umelewa.
Wote, itategemea na mwenye ushawishi ๐Kwahiyo. Umekubali kuwa mentored na Chai ya rangi au Baharia?.
Au wote? .
Ole wako umuzawadie Passo tutapigana ngumiMama min kesho namzawadia gari jipya , nitalipost hapa gademitt
MmhhhNa lile jicho lako la kichokozi๐ kidoti wewe
Ndugu zako waitwe sasa unywe zile dawa zako kabla hawajafunga kambaKidotiii๐
Kweli aiseeeh!๐โโ๏ธHii ni tabia ya wanawake na wazazi wa kichaga kwa ujumla, wanapenda mtoto kwa sababu.......
Naona tabia hii inaanza kwa wazazi wa makabila mengine pia ila origin yake ni wachaga
We jamaa tulijua umekufa, au ulikua unapost kwa id nyingine? Maana kuna content humu ukisoma ni kama za mtu mmoja,Hongera mgerasi nasikia umehama kutoka ile kampuni ya ulizi ya wachapa kazi security na sasa umehamia Garda world na umepelekwa lindo la Toyota pale posta
Hongera sana nazan leo hulindi usiku
Hapana kaka mimi sijafa niko mzima kabisaWe jamaa tulijua umekufa, au ulikua unapost kwa id nyingine? Maana kuna content humu ukisoma ni kama za mtu mmoja,
UnitagMama min kesho namzawadia gari jipya , nitalipost hapa gademitt
Kaka unatusimanga.๐๐๐Leo nimelewa nampigia b mkubwa kilevi levi , anacheka cheka tu , nakunipa maneno ya baraka za kutosha .
Hakuna mwanamke atakupa attention bila pesa wewe kijana mpumbavu ๐ ๐
Ma jobless tuna semwa sanaKikubwa pumzi. Aliekupa wewe ndio katunyima sisi.