kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,187
Hata wanaume pia huwa mnazinguaKama mke au mume anazingua lazima uwe msiri. Kungekuwa na kuaminiana basi watu wasingukuwa usiri wowote hivyo ukiona kuna usiri kwenye mambo ya pesa basi ujue mwanandoa mmoja anazingua.
Maybe.Yamkini angemuambia huyo Mke la da angekuwa alisha fariki miaka mingi kabla.yawezekana kitendo cha kumficha ndio kimemsogeza siku zake.
By the way hakuna fedha ambazo huwa zinapotelea bank,mwisho wa siku mrithi atazifatilia na watampa.
Kwahiyo ngoma droo au sio.Nyie pia mnatuzalia watoto sio wetu kwanini?
Sijui hii nadharia ya kuwa Mama mzazi ndio mtu pekee sijui watu huwa wanautoa wapi.Kuna Wamama ni vichefu chefu,niliwahi shuhudia Mama anamua kijana wake kwa kumuroga kisa pesa.Ukishidwa mke mwambie hata Mama mzazi Siri zako.
Sure wapo wa mama aina hiyo so umakini unahitajika.Sijui hii nadharia ya kuwa Mama mzazi ndio mtu pekee sijui watu huwa wanautoa wapi.Kuna Wamama ni vichefu chefu,niliwahi shuhudia Mama anamua kijana wake kwa kumuroga kisa pesa.
Sio kila Mama ni Mama
As long zina majina yake haziwezi kupotea. Msimamizi wa mirathi anatakiwa kufuatilia yote haya.Familia inaweza ikazipata wakati wa mirathi.
Mjomba wangu alifariki juzi kati hapa na tayari imeshajulikana bank aliacha sh ngapi.
Ni kweli.As long zina majina yake haziwezi kupotea. Msimamizi wa mirathi anatakiwa kufuatilia yote haya.
Kama mwanaume anazingua basi mwanamke awe msiri katika mambo yake.Hata wanaume pia huwa mnazingua
Hapo unyama aiseeKama mwanaume anazingua basi mwanamke awe msiri katika mambo yake.
Wala sijamkataza.
Hakika hakika.Hapo unyama aisee
KabisaWee si umejua, wasaidie familia yake wapate hizo Pesa.
Swadaktaaa.Kabisa
Una muda gan katika ndoa yako mkuu.Kwangu Mimi mke wangu ndo msiri wangu no matter what!! Mtu nimezaa naye watoto harafu nimfiche mambo yangu !? Huu ni ushaitwani wa kiwango Cha SGR
Hiyo ndoa inaonekana kuwa bado Changa sanaUna muda gan katika ndoa yako mkuu.
Naam!Jina lako ni Mnafiki Wa Kujitegemea.
Miaka 15 mkuu,kwani vipi!?Una muda gan katika ndoa yako mkuu.