Umeshajua kwamba wanabadilika, why uoe? Acheni viherehere.Wanabadilika wakishaolewa wanataka watu control kama rimoti.
Aliniigizia kipindi cha uchumba.Umeshajua kwamba wanabadilika, why uoe? Acheni viherehere.
Umenena vyemaBaada ya kupitia maoni yote kabisa ya Watu/wachangiaji hapa, naona kuna UMUHIMU mkubwa sana Watu waweze kuelimishwa kuhusiana na suala hili la USIRI au Siri.
But all in all, ifahamike Wazi kabisa kwamba suala hili la USIRI limebeba UZIMA na KIFO kuhusiana na maisha ya mhusika.
Kuna madaraja kama matatu hivi ya Siri, ambayo ni:-
1. Confidential.
2. Secret.
3. Top Secret.
Kila Daraja hapo lina kazi yake, na kuna Mazingira yake ya kuweza kutumika.
Muhimu kuzingatia ni kwamba, SIRI zako daima zinabeba hatma ya maisha na Uhai wako. Uzima wako au Kifo chako daima hubebwa na SIRI zako ulizonazo.
Siri Muhimu lakini lazima tujue jinsi ya kuweka sirini mambo mengine ni vyema kushirikishana na watu wako wa karibu tatizo uaminifu changamoto ndio inafanya wajuba WENGI KUKAZA sana na vitu vyao...NimepitaHabari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia yake hakuna mwenye taarifa hizo zaidi yake. Tugapipiga story pale na kushauriana mambo mengi ikiwa pia inatakiwa kuweka wazi baadhi ya mambo muhimu Kwa familia. Sasa juzi suddenly mshikaji kapata ajari na tumesha mpoteza(kafariki). Niliwaza vitu vingi Sana hivyo nimeleta hii thread hapa ili tujifunze kitu bank wananufaika na pesa na sio mke au watoto.
So the moral of this story is Let's not keep important family matters a secret. Imagine umejenga hakuna uliye mshirikisha, una pesa bank hakuna uliyemshirikisha, una MTOTO njee hakuna uliyemshirikisha, unabiashara hakuna uliyemshirikisha ukipotea suddenly it's worthless. TUPUNGUZE AU KUACHA KABISA SIRI kwenye mambo ya FAMILIA.
Waiiii acha siri ituue..wake zetu wana siri pia na hawatupi nakalaHabari wana JF.

Binafsi nimekuelewa Mzee wa kitengo. Ninyi ndiyo mnafanya taifa liyumbe au liwe imara.Baada ya kupitia maoni yote kabisa ya Watu/wachangiaji hapa, naona kuna UMUHIMU mkubwa sana Watu waweze kuelimishwa kuhusiana na suala hili la USIRI au Siri.
But all in all, ifahamike Wazi kabisa kwamba suala hili la USIRI limebeba UZIMA na KIFO kuhusiana na maisha ya mhusika.
Kuna madaraja kama matatu hivi ya Siri, ambayo ni:-
1. Confidential.
2. Secret.
3. Top Secret.
Kila Daraja hapo lina kazi yake, na kuna Mazingira yake ya kuweza kutumika.
Muhimu kuzingatia ni kwamba, SIRI zako daima zinabeba hatma ya maisha na Uhai wako. Uzima wako au Kifo chako daima hubebwa na SIRI zako ulizonazo.
Ila wanaume mmezidi.Sio ubahili tupunguze usiri na ubinafsi Hapo ni kwapande zote mbili me & ke.
Acha kabisa, watu wanapoteza sana mali. Kuna kipindi pia nipo Mwanza maeneo ya Nyegez jamaa mmoja aliachiwa nyumba alinde. Sasa ukaja mchakato wa upimaji wa ardh ili watu wapate hati, ikawa jamaa kila akimpigia mwenye nyumba simu haipokelewi na mchakato unafikia mwishon. Basi mchizi akamua kuandika majina yake.Noma Sana Sir watu inatakiwa wajifunze hapa .
Kupanga nikuchagua so uko sahihi .Mleta uzi kuna kitu hujakijua bado usipokuwa msiri kwenye mambo nyeti jua wazi kabisa kifo kiko mlangoni mwako.
Tena issue za hela zisikie tu kwa rafiki yako hivyohivyo ukimwambia mwanamke kisa tu ni mkeo na kakuzaliwa watoto saba ukajua hapa sasa mpaka kufa na kuzikana basi umekwisha.
Mwanamke hubadarika siku moja na kuchukua maamzi ya kukuondoa muda wowote ule.Ukibishana na hili nitakushangaa ..chukulia mwanamke anafanya starehe kwa kujua kabisa anaweza kupata mimba na anazijua siku zake hatimae kweli anapata mimba....ile mimba anaiacha hadi anajifungua kisha anaenda kuktupa mtoto mtaroni au chooni.
Ni mwanmke huyohuyo anaweza akahatarisha maisha yake kwa kutoa mimba kwa sababu ya starehe zake yeye mwenyewe.
Hivyo mimi ni heri nife na siri zangu kuliko pesa yangu mwenyewe iwe chanzo cha mauti yangu! Kama nina mtoto aliyejitambua huyo ndo nitamwambia ila nikiona bado ni kopo na mfuniko na sina wazazi heri wafaidike waliokuwa wanazitunza asee
Aise noma Sana.Acha kabisa, watu wanapoteza sana mali. Kuna kipindi pia nipo Mwanza maeneo ya Nyegez jamaa mmoja aliachiwa nyumba alinde. Sasa ukaja mchakato wa upimaji wa ardh ili watu wapate hati, ikawa jamaa kila akimpigia mwenye nyumba simu haipokelewi na mchakato unafikia mwishon. Basi mchizi akamua kuandika majina yake.
Baadae ile namba ya mwenye nyumba ikawa haipatikani kabisa. Mpaka natoka Mwanza ilipita kama miaka 2 mchizi yupo kweny ile nyumba na mmilik simu yake haipatikani.
Kitu ambacho jamaa alikuwa anakifanya ni kufungua baadhi ya vitu kama masinki anauza anapata hela ya bangi.
Yani ninachohisi mwenye nyumba alishatangulia mbele za haki na ile nyumba alijenga kwa Siri. Maana kipind chote Cha ujenzi alikuwa anakuja peke yake.
Sahihi lakini pamoja na uzuri wa wakili inatakiwa upime uaminifu wake because Kuna games nyingi za kisheria wanacheza siku hizi.Tafuta wakili mzuri. Andika wasia utakaotaja watu unaotaka wanufaike na mali zako. Orodhesha mali zako.
Wasia ubaki kwa wakili na maagizo usomwe kwa wanufaika utakapofariki.