Tupunguze Siri Wakuu

Tupunguze Siri Wakuu

Ni hatari sana ,samahani mkuu nimeelewa mada yako kinaga ubaga ila nina shida moja kuwa hapa Tanzania watu tuliopewa heshima ya kuitwa Sir ni wanne tu na mimi nikiwepo ,achana na zile habari za shule za upili za kumuita mwalimu wa kiswahili Sir ,hivyo kwa heshima yangu na kuweza kukipoza kimuhemuhe cha haki ya heshima yangu kuchukuliwa naomba ,acha kuwaita wanaume wengine wa hapa Sir ni kunishusha brand ,ahsante .

Natumai utanielewa vyema bila kupata mkanganyiko wowote ,wako Sir MENEMENE TEKERI NA PERESI
I got you Sir .
 
Habari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia yake hakuna mwenye taarifa hizo zaidi yake. Tugapipiga story pale na kushauriana mambo mengi ikiwa pia inatakiwa kuweka wazi baadhi ya mambo muhimu Kwa familia. Sasa juzi suddenly mshikaji kapata ajari na tumesha mpoteza(kafariki). Niliwaza vitu vingi Sana hivyo nimeleta hii thread hapa ili tujifunze kitu bank wananufaika na pesa na sio mke au watoto.

So the moral of this story is Let's not keep important family matters a secret. Imagine umejenga hakuna uliye mshirikisha, una pesa bank hakuna uliyemshirikisha, una MTOTO njee hakuna uliyemshirikisha, unabiashara hakuna uliyemshirikisha ukipotea suddenly it's worthless. TUPUNGUZE AU KUACHA KABISA SIRI kwenye mambo ya FAMILIA.
Hatari kuna visa vingi sana vinafanana na story hii
 
Naunga mkono hoja japo mambo ya hela ni magumu saa katika ngazi ya familia
Na hakuna kanuni moja sahihi ya masuala ya fedha ya kuifuata ili kuishi na mke/mume wako kwani inategemeana na mtu uliyebahatika kuwa naye
Mfano wa tabia za wenza;
1. Wengine hawawezi kabisa kuweka akiba
2. Wengine wanawazia tu kusaidia kwao tu...
3. wengine ni outgoing hawataki fashion iwapite
4. Wachache wapo vizuri kila idara na wana maono ya kuijenga familia Imara
5. Mwenzako akijua kipato chako chote mwishowe life huwa boring kwa kuwa hakuna surprise, yaani unamuomba mwenzako mtoe, 50,000 ili umsurprise kwenda out?
6. Nafikiri mtu anaishi na mwenza wake kwa jinsi alivyo; wala mtu asifundishe watu kuwa yeye ndie anajua kuishi na mwenza vizuri kuliko wengine kwani hajui wengine wana wenza wa namna gani
 
Wakati mwingine mke wako akiona una pesa anaweza kukuweka sumu akuue, je ukigundua njama kama hizo hutafanya usiri katika masuala ya pesa?
Set mipango yako vizuri then find a good lawyer. Ili hata kama ikitokea namna gani vipi mali zako zinufaishe unaowataka wewe.
 
Kuna kipindi nilikuwa na pesa bank nyingi tu, nikaona ni bora nimshirikishe mwenzangu ili tuone tunafanyaje. Ila kabla sijafikia hatua ya kumshirikisha ikatokea hali ya kutokuelewana na mwenzangu ktk hali tu za kimaisha. Nikasema hebu subiri kwanza nisimshirikishe. Tofauti zetu zilipozidi oooh nikaona cha kufia nini, nikajipange tu na maisha yangu, ile pesa ilinisaidia sana hadi leo nimesimama vzr kwa msingi wa ile pesa

Wkt mwingine usiri ni mzuri kwa mustakabari wa maisha yako ya baadae maana binadamu unaoishi nao wanabadirika muda wowote ule. Usipumbazwe na furaha ya leo ukasahau huzuni ya kesho. Ikitokea umekufa na siri zako basi tena, maana maisha yako ndiyo yameishia hapo...
 
Benki kuu kwa hali kama hii iweke kanuni ya wateja ambao hawajajitokeza kufanya miamala kwa miezi 3 basi akaunti zao zihamie kwenye akaunti maalum za benki kuu kusubiri taarifa zaidi.Na iweke jukumu kwa benki husika kufuatilia taarifa za mteja wao kwani walimsajili kwa anuani zote na kitambulisho cha taifa.Madhumuni iwe ni kukabidhi mali za mteja husika kwa watu wake iwapo amefariki.
Hili ni tatizo worldwide ndio maana mzee Robert Kiyosaki anakwambia Bank ni utapeli wanakushawishi uweke vitu vyako sirini alafu suddenly ukipotea wananufaika wao.
 
Naunga mkono hoja ya familia kujua una account Bank flani, na hata namba ya account japo kujua kiasi sio muhimu au kama umefanya deal la kushirikiana na mtu mwingine la hela nyingi nk

Kwa hela zilizoko Bank;
kitendo cha kujua tu kuwa mke au mume ana account katika bank flan hata kama hajui namba yake;
kama ameteuliwa kama mridhi, akifuata taratibu na kwenda bank husika na majina matatu, Kitambulisho cha Nida/udereva, Namba ya simu akiwasiliana na mtu sahihi wa Bank; atasaidiwa kupata details za hiyo account na kupewa taratibu za kupata hiyo hela.
Kinachotesa sana watu, ni wahudumu wenye dhamana ya kuhudumia watu kutokutoa ushirikiano hata kwa mambo yanahohitaji huruma na hivyo kuyafanya yaonekane magumu sana au yasiyowezekana....
Hakika.
 
Habari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia yake hakuna mwenye taarifa hizo zaidi yake. Tugapipiga story pale na kushauriana mambo mengi ikiwa pia inatakiwa kuweka wazi baadhi ya mambo muhimu Kwa familia. Sasa juzi suddenly mshikaji kapata ajari na tumesha mpoteza(kafariki). Niliwaza vitu vingi Sana hivyo nimeleta hii thread hapa ili tujifunze kitu bank wananufaika na pesa na sio mke au watoto.

So the moral of this story is Let's not keep important family matters a secret. Imagine umejenga hakuna uliye mshirikisha, una pesa bank hakuna uliyemshirikisha, una MTOTO njee hakuna uliyemshirikisha, unabiashara hakuna uliyemshirikisha ukipotea suddenly it's worthless. TUPUNGUZE AU KUACHA KABISA SIRI kwenye mambo ya FAMILIA.
Kuna sehem huandikwa mrithi mfano UBA
 
Kuna kipindi nilikuwa na pesa bank nyingi tu, nikaona ni bora nimshirikishe mwenzangu ili tuone tunafanyaje. Ila kabla sijafikia hatua ya kumshirikisha ikatokea hali ya kutokuelewana na mwenzangu ktk hali tu za kimaisha. Nikasema hebu subiri kwanza nisimshirikishe. Tofauti zetu zilipozidi oooh nikaona cha kufia nini, nikajipange tu na maisha yangu, ile pesa ilinisaidia sana hadi leo nimesimama vzr kwa msingi wa ile pesa

Wkt mwingine usiri ni mzuri kwa mustakabari wa maisha yako ya baadae maana binadamu unaoishi nao wanabadirika muda wowote ule. Usipumbazwe na furaha ya leo ukasahau huzuni ya kesho. Ikitokea umekufa na siri zako basi tena, maana maisha yako ndiyo yameishia hapo...
Hakika 50/50 lolote linaweza kutokea.
 
Habari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia yake hakuna mwenye taarifa hizo zaidi yake. Tugapipiga story pale na kushauriana mambo mengi ikiwa pia inatakiwa kuweka wazi baadhi ya mambo muhimu Kwa familia. Sasa juzi suddenly mshikaji kapata ajari na tumesha mpoteza(kafariki). Niliwaza vitu vingi Sana hivyo nimeleta hii thread hapa ili tujifunze kitu bank wananufaika na pesa na sio mke au watoto.

So the moral of this story is Let's not keep important family matters a secret. Imagine umejenga hakuna uliye mshirikisha, una pesa bank hakuna uliyemshirikisha, una MTOTO njee hakuna uliyemshirikisha, unabiashara hakuna uliyemshirikisha ukipotea suddenly it's worthless. TUPUNGUZE AU KUACHA KABISA SIRI kwenye mambo ya FAMILIA.
Naona kuwa kosa alilofanya ni kukuambia hiyo SIRI maana hata hukumchelewesa tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom