Tupunguze Siri Wakuu

Tupunguze Siri Wakuu

Yamkini angemuambia huyo Mke la da angekuwa alisha fariki miaka mingi kabla.yawezekana kitendo cha kumficha ndio kimemsogeza siku zake.
By the way hakuna fedha ambazo huwa zinapotelea bank,mwisho wa siku mrithi atazifatilia na watampa.
Maybe.
 
Ukishidwa mke mwambie hata Mama mzazi Siri zako.
Sijui hii nadharia ya kuwa Mama mzazi ndio mtu pekee sijui watu huwa wanautoa wapi.Kuna Wamama ni vichefu chefu,niliwahi shuhudia Mama anamua kijana wake kwa kumuroga kisa pesa.
Sio kila Mama ni Mama
 
Sijui hii nadharia ya kuwa Mama mzazi ndio mtu pekee sijui watu huwa wanautoa wapi.Kuna Wamama ni vichefu chefu,niliwahi shuhudia Mama anamua kijana wake kwa kumuroga kisa pesa.
Sio kila Mama ni Mama
Sure wapo wa mama aina hiyo so umakini unahitajika.
 
Familia inaweza ikazipata wakati wa mirathi.
Mjomba wangu alifariki juzi kati hapa na tayari imeshajulikana bank aliacha sh ngapi.
As long zina majina yake haziwezi kupotea. Msimamizi wa mirathi anatakiwa kufuatilia yote haya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom