Maisha lazima yaendelee Sir mfano mzee Mengi asingekuwa na positive altitude Leo tusenge kuwa na ITV.Inauma sana mkuu ndiyo maana jamaa yangu mmoja anasema Nikifa MkeWangu Asiolewe
Ila bado usiri unahitajika mkuu. Hata Mzee mengi alikuwa anafanya mambo fulani fulani kwa SiriMaisha lazima yaendelee Sir mfano mzee Mengi asingekuwa na positive altitude Leo tusenge kuwa na ITV.
Of course Sir but family issues usiweke Siri mpaka kunufaisha watu walio nazo, Yani namaanisha Kama umeacha pesa Bank unawazidishia watu wa bank wakati familia yako wakiambulia maumivu ya kukupoteza na pesa/mali unavipoteza. So Siri yako iwepo katika vitu vya kawaida ambavyo havina faida Kwa familia mfano kula mishangazi hiyo iwe Siri yako.Ila bado usiri unahitajika mkuu. Hata Mzee mengi alikuwa anafanya mambo fulani fulani kwa Siri
Wakati mwingine mke wako akiona una pesa anaweza kukuweka sumu akuue, je ukigundua njama kama hizo hutafanya usiri katika masuala ya pesa?Of course Sir but family issues usiweke Siri mpaka kunufaisha watu walio nazo, Yani namaanisha Kama umeacha pesa Bank unawazidishia watu wa bank wakati familia yako wakiambulia maumivu ya kukupoteza na pesa/mali unavipoteza. So Siri yako iwepo katika vitu vya kawaida ambavyo havina faida Kwa familia mfano kula mishangazi hiyo iwe Siri yako.
Tuelimishe zaidi kuhusu pesa za benki.Kwani wana wajibu gani wakiona mteja wao hajaonekana muda mrefu.Habari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia yake hakuna mwenye taarifa hizo zaidi yake. Tugapipiga story pale na kushauriana mambo mengi ikiwa pia inatakiwa kuweka wazi baadhi ya mambo muhimu Kwa familia. Sasa juzi suddenly mshikaji kapata ajari na tumesha mpoteza(kafariki). Niliwaza vitu vingi Sana hivyo nimeleta hii thread hapa ili tujifunze kitu bank wananufaika na pesa na sio mke au watoto.
So the moral of this story is Let's not keep important family matters a secret. Imagine umejenga hakuna uliye mshirikisha, una pesa bank hakuna uliyemshirikisha, una MTOTO njee hakuna uliyemshirikisha, unabiashara hakuna uliyemshirikisha ukipotea suddenly it's worthless. TUPUNGUZE AU KUACHA KABISA SIRI kwenye mambo ya FAMILIA.
Sasa Hapo kazi Sir, Kama ukigundua na Kwa ushahidi kabisa me ushauri wangu ni-heri uachane-nae yanini kuishi mkiviziana kutoana roho Mkuu.Wakati mwingine mke wako akiona una pesa anaweza kukuweka sumu akuue, je ukigundua njama kama hizo hutafanya usiri katika masuala ya pesa?
Nasubiri watu wa Bank waje watupe muongozo but believe me sir pesa nyingi zinapotelea Bank Kwa sababu Kama muhusika haja wapa taarifa mtajulia wapi na Bank haiwatambui there is no way.Tuelimishe zaidi kuhusu pesa za benki.Kwani wana wajibu gani wakiona mteja wao hajaonekana muda mrefu.
Na iwapo ajali kama hiyo imetangazwa na benki kuona tangazo la kifo cha mteja wao wakikaa kimya benki kuu inachukua hatua gani
Ukiachana naye anakukodishia watu wa kukumaliza.Sasa Hapo kazi Sir, Kama ukigundua na Kwa ushahidi kabisa me ushauri wangu ni-heri uachane-nae yanini kuishi mkiviziana kutoana roho Mkuu.
Noma Sana Sir watu inatakiwa wajifunze hapa .Hii kitu imetokea kwenye familia yetu mwaka jana. Sister alifariki ila baada kama ya miez mitano au sita mtoto wake mkubwa wakati anachezea simu ya marehemu tukakuta kuna sms zinaingia kweny email yake za marejesho ya mkopo. Baada ya kuongea na dogo ndo akakumbuka kuwa marehemu aliwahi kuchukua mkopo akafungua duka la vifaa vya ujenzi. Kwahyo huyo mtu ambae alimweka kama msimamizi wa duka ndiye anaefanya hayo marejesho.
Pia siku moja wakat tunakagua baadh ya vitu tukakutana na karatasi moja imechoka sana, tulipokuja kuifungua kumbe ilikuwa ni hati ya mauziano ya kiwanja mwaka 2013, na haya mauziono yalifanyika Mwanza. Kwahiyo kazi ikawa kwetu kujua hiki kiwanja kipo Mwanza sehemu gani. Baada ya kupambana sana tulifanikiwa kukipata na alishasimamisha boma. Ila kitu cha ajabu tulikuta yule ambae aliwekwa kama msimamizi yupo kwenye mchakato wa kujimilikisha mali.
Ni hatari sana ,samahani mkuu nimeelewa mada yako kinaga ubaga ila nina shida moja kuwa hapa Tanzania watu tuliopewa heshima ya kuitwa Sir ni wanne tu na mimi nikiwepo ,achana na zile habari za shule za upili za kumuita mwalimu wa kiswahili Sir ,hivyo kwa heshima yangu na kuweza kukipoza kimuhemuhe cha haki ya heshima yangu kuchukuliwa naomba ,acha kuwaita wanaume wengine wa hapa Sir ni kunishusha brand ,ahsante .Sir utakuwa ulioa Jambazi.
Huenda huyo jamaa aliyeficha hela yake benki alioa jambazi ndiyo maana alifanya vile.Sir utakuwa ulioa Jambazi.
Benki kuu kwa hali kama hii iweke kanuni ya wateja ambao hawajajitokeza kufanya miamala kwa miezi 3 basi akaunti zao zihamie kwenye akaunti maalum za benki kuu kusubiri taarifa zaidi.Na iweke jukumu kwa benki husika kufuatilia taarifa za mteja wao kwani walimsajili kwa anuani zote na kitambulisho cha taifa.Madhumuni iwe ni kukabidhi mali za mteja husika kwa watu wake iwapo amefariki.Nasubiri watu wa Bank waje watupe muongozo but believe me sir pesa nyingi zinapotelea Bank Kwa sababu Kama muhusika haja wapa taarifa mtajulia wapi na Bank haiwatambui there is no way.