Hakika Sir.Hizi siri ndizo zinazosababisha, hata muafrika awe na mali vp, akifa na biashara/mali zake zinamfuata. Kwa sababu mali nazo hazipendi kujulikana kama mwenyewe alivyotaka iwe, hivyo zinaamua kumfuata kule kuzimu alikoenda. Uamuzi ni wetu, tuendelee kuweka haya maisha siri, au tuwashirikishe wengine? Kila mtu awe huru kujiamulia
Waache wale Sir ilimradi ni Mtanzania mwenzako it's fine.Hata mimi mkuu, yaani kuliko kuamini kiumbe kiitwacho mwanamke ambaye ukifa anaenda kuolewa na mtu mwingine na ku spend pesa zako ulizomwachia na bwana mpya bora hele iliwe na benki.
Nikiwa na mtoto mkubwa nitampa Siri juu ya pesa zangu kwa kiasi kidogo.
Word.Baada ya kupitia maoni yote kabisa ya Watu/wachangiaji hapa, naona kuna UMUHIMU mkubwa sana Watu waweze kuelimishwa kuhusiana na suala hili la USIRI au Siri.
But all in all, ifahamike Wazi kabisa kwamba suala hili la USIRI limebeba UZIMA na KIFO kuhusiana na maisha ya mhusika.
Kuna madaraja kama matatu hivi ya Siri, ambayo ni:-
1. Confidential.
2. Secret.
3. Top Secret.
Kila Daraja hapo lina kazi yake, na kuna Mazingira yake ya kuweza kutumika.
Muhimu kuzingatia ni kwamba, SIRI zako daima zinabeba hatma ya maisha na Uhai wako. Uzima wako au Kifo chako daima hubebwa na SIRI zako ulizonazo.
Inauma sana mkuu ndiyo maana jamaa yangu mmoja anasema Nikifa MkeWangu AsioleweWaache wale Sir ilimradi ni Mtanzania mwenzako it's fine.
Kwanini mnaishi na hawa maadui mnaowaita wanawake? Kutwa kufunga nao ndoa...baby njoo tuishi wote ili iweje?Hata mimi mkuu, yaani kuliko kuamini kiumbe kiitwacho mwanamke ambaye ukifa anaenda kuolewa na mtu mwingine na ku spend pesa zako ulizomwachia na bwana mpya bora hele iliwe na benki.
Nikiwa na mtoto mkubwa nitampa Siri juu ya pesa zangu kwa kiasi kidogo.
Wanabadilika wakishaolewa wanataka watu control kama rimoti.Kwanini mnaishi na hawa maadui mnaowaita wanawake? Kutwa kufunga nao ndoa...baby njoo tuishi wote ili iweje?
Hakika uaminifu ndiyo nguzo.Point ni awepo mtu muaminifu ndani ya familia au wazazi wanaoweza kujua ni lipi unacho ama huna kwa sababu ni binadamu wachache wenye nyoyo za kutunza siri au asikufikirie mabaya pale anapojua kipato au kukua kwako.
Mara nyingine watu wanaficha ili kuepuka mengi mkuu. Kwa hiyo hii ni issue ya pande mbili, wenye mali waseme walichonacho lakini wahusika pia wajifunze tabia ya kuaminika ili waaminike. Sio mtu amekuambia ana nyumba moja, bhasi unafikiria kumuua ili urithi au kununua pasipo sababu ukinyimwa mahitaji flani unneccessary kwa sababu tu ana pesa ya kujenga