Umekufa quality boss nimeicompress iliktaa kuuuploadMkuu yaani pamoja na mwanga wa taa na object ipo karibu kabisa umetoa picha mbovu hivyo? hebu rudia zoezi maana haina kabisa focus check vipele!!
Hapo sawaUmekufa quality boss nimeicompress iliktaa kuuupload
Hii ipo poa sanaSumsang S8View attachment 2121979
Utundu mwingine bhana inabidi tu mtu ucheke tu
a little bit Good
Imetoka poa
Habarini wadau.
Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu.
IPhone 13 camera hamna kitu
Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukunguNafikiria mno s10 plus.www.jamiiforums.com
Tuyaache hayo leo, nimepata wazo la kuja na mchuano wa simu gani inatoa picha kali, weka picha ambayo utapiga baada ya kusoma uzi "usilete za nyuma" haijalishi mazingira ulipo wala wakati iwe usiku au mchana.
Hii itatusaidia kufanya uchaguzi mzuri wa simu kwa wataotaka kubadili simu.
Weka picha na utuambie umepiga picha na simu ya aina gani, Sometimes specs tunazozisoma kwenye vifaa aua GSMARENA ni kama wanatupanga vile.
Hapa ni aina yoyote ya simu ukipost tuambie ni simu gani.
Uwanja ni wenu.
Jf kila member ana travolta
Umepiga kuelekea mwanga ndio maana imetona ina mawingu jaribu location tofauti
Umepiga kuelekea mwanga ndio maana imetona ina mawingu jaribu location tofauti
Focus/clearness ya picha bado, simu gani hio
Philips pro max JHamna kitu angalia kidole gumba kimefifia hakina focus licha ya kupiga karibu, ila sogeza mkono mbele kidoogo itapata focus
Singsong HelojihiFocus/clearness ya picha bado, simu gani hio
Kama nywele tu ziko hivyo, huko kwapani na uvugunguni kukoje?Samsung a52 potrait modeView attachment 2121378