Unahitaji picha kali kwenye simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
App ya Google kamera ambayo ilikua inatumika kwa Ajili ya vifaa vya google pixel Sasa rasmi vimebadilishwa jina na kuitwa Pixel camera.

Ukingia play store ukitaka kupata app ya kamera Kali kwa Ajili ya simu Yako we tafuta TU Pixel kamera , utaweza kujipiga picha Kali za aina mbalimbali kwa urahisi kupitia simu Yako.

pixelkamera%E2%80%93%201.jpg


Kuna feature nyingi sana mpya utakutana nazo ndani ya hiyo app ya pixel kamera kama vile
  • Portrait
  • Night sight
  • Times lapse na cinematic blue.
Kama unahitaji picha na video Kali Kwenye simu Yako hakikisha unatumia hii app ya Pixel kamera maana ni balaa Kwenye picha za usiku au mchana pamoja na video kucheza cheza Yani mwisho wa matatizo.

Inafanya kazi kwa watumiaji wenye uwezo wa kupokea toleo jipya la android Version 14 hakikisha unatumia simu ya Google pixel.

#Pixel #googlepixel #teknolojianiyetusote #fahamuzaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom