Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

IMG_0265.jpg

Pixal 3a
 
Habarini wadau.

Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu.


Tuyaache hayo leo, nimepata wazo la kuja na mchuano wa simu gani inatoa picha kali, weka picha ambayo utapiga baada ya kusoma uzi "usilete za nyuma" haijalishi mazingira ulipo wala wakati iwe usiku au mchana.

Hii itatusaidia kufanya uchaguzi mzuri wa simu kwa wataotaka kubadili simu.
Weka picha na utuambie umepiga picha na simu ya aina gani, Sometimes specs tunazozisoma kwenye vifaa aua GSMARENA ni kama wanatupanga vile.

Hapa ni aina yoyote ya simu ukipost tuambie ni simu gani.

Uwanja ni wenu.
 

Attachments

  • IMG_20220707_182926_949.jpg
    IMG_20220707_182926_949.jpg
    803.2 KB · Views: 34
hii iko poa
πš—πšŠ πš πšŽπš£πš’ πš πšŠπš–πšŽπšœπš‘πšŠπš”πšŠπšπšŠ πš‘πš’πš’πš˜ πšπš•πšŠπš πš‹πšŠπš› πš™πš’πšŠ πšŠπš™πšŽπš πšŽ πš™πš˜πš•πšŽ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom