Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

mzee kasri (goms-posta) mlambenamalundi (goms-ubungo) ikisimama panda (yombo)
 
1. Silaha pesa, kisu mzigo
2. Thamani ya kondoo iko mkiani mwake
3. Mwanamke zigo la mavi, usipolitupa kwa kukulemea utalitupa kwa kunuka.
 
-Usisifu huku roho inauma. -Mganga haagiz tembele. -Kula mapera hakutibu kuharisha. -Hata bibi alikua bint.
 
Back
Top Bottom