Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

'Unayemchukia kaja'
basi liendalo ferry kutoka ubungo au kimara
 
Masikini hafilisiki

Tembo hajifichi kwenye shamba la matembele.

kama mapenz ni pesa kafunge ndoa na benki

sumu haionjwi

Haha..hii nadhani coaster moja limepakiwa sehemu flani ivi along kijichi-mbagala kuu road!
 
Hata maji machafu huzima moto-coaster, Mbagala-Ikwiriri.
Thamani ya kondoo ni mkia wake.
 
mvi sio utu uzima jipange uwache ukaidi.
Juisi haipashwi moto.
Msitu haumwagiliwi.
Bubu acha magumashi chunga usimfokee kiziwi
 
Back
Top Bottom