nguvu huna, pesa huna, hata mkwara?
njia ya chooni haioti nyasi
utamu wa pipi mate yako
mshua TRA
QUOTE=Bajabiri;3917322]-Ikiuma sema.
-usije mjini vyumba vimepanda bei(nimeiona leo).
-kama unataka deiwaka kamwambie tajiri(tandika kariakoo).
-haiumizi,umbile lake.
-kila ujinga humfaa mwenyewe
-nenda kaseme.
-kaseme na hii[/QUOTE]