MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,446
Kwenye njaa "tonge la mwisho halina undugu"
Ncha ya mkuki haikumbatiwi
mvi sio utu uzima jipange uwache ukaidi.
Juisi haipashwi moto.
Msitu haumwagiliwi.
Bubu acha magumashi chunga usimfokee kiziwi
Umekosea ni mwanamke asiyesingiziwa mimba.
Wachawi watu,paka na bundi wanasingiziwa tu!