Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

...mganga haagizi samaki
....kuku wako mwenyewe manati ya nini
(hii niliikuta ndani ya basi) "no speak kiluga"
mnaacha kuchonga fenicha mnachonga maneno!
 
Chezea kazi, usichezee hela. Oops nimesema hela au kazi? No. Ninamaanisha usichezee kazi, chezea hela hahaha
 
1. Tamu haiishi hamu 2. Ndama hafunzwi kunyonya 3. Maji ya moto hayachomi nyumba 4. Msuli sisimizi matokeo tembo
 
Back
Top Bottom