- Side hustle mbona % kubwa ya askari wanaomba uhamisho kwenda kwenye mashirika ya umma? Si wangebaki huko huko, mtu unafanya kazi miaka 10 unalipwa 1.5m na viposho vya chai lazima uhameHuyu jamaa yeye anaamini maisha unayatengeneza kwa mshahara tu kitu ambacho kwa mtu ambae anataka kufanikiwa ni haiwezekani, side hust narudia tena side hustle
Hawa ndo wakikaaga wakiona mtu ana kipato cha kawaida halafu kafanikiwa wanasema huyu kaua ndugu hahah atembee aone
- ofisa wa tra analipwa mara 5 ya ofisa wa magereza, police nkWe Tra nani bhana, hawa hawa Tra ambao wanakula rushwa kwenye biashara za watu na ukiwanyima wanakufungia biashara hivi unajua watu wanaokula mshahara mzuri wewe
Hivi ndo unasema wanalipwa vizuri, hapo majority mshahara ni wa kawaida sana kama ulishafanya biashara utagundua hawa jamaa ni wana njaa mno 👇👇👇
- . Ndio sasa umeelewa hoja yangu kwamba kuna baadhi ya vitu like discovery ukimkuta ofisa wa tra anaendesha hushangai, Ila
Chifu bhana Unaamini sana kwenye mshahara kaka...-Sasa unajilinganisha na maofisa wa tra? hivi unajua mshahara wa ofisa wa tra anayeanza kazi anamzidi ACP,?
-Sio story za Vijiweni Mimi ni consultant nimefanya consultancy hadi kwenye mashine ya umma, Kuna mengi mazuri
- hama huko wenzio wanacheki fursa kwenye mashirika ya umma wewe umekomaa kuingia gadi, mafungio,
Nani kakwambia saa hivi kuna hicho kitu cha kuhama kama unavyodai wewe, saa hivi acha kazi ndo uende unakokutaka Sema tunabishana na watu ambao wapo kwa mfumo kwa hiyo sio kosa lako.- Side hustle mbona % kubwa ya askari wanaomba uhamisho kwenda kwenye mashirika ya umma? Si wangebaki huko huko, mtu unafanya kazi miaka 10 unalipwa 1.5m na viposho vya chai lazima uhame
-Mimi binafsi sijawahi kuona askari magereza anaGorofa, lakini maofisa wa tra, ngorongoro,bodi ya michezo ya kubahatisha wengi sana nimewaona Wana magorofa,
- Mimi niliacha kazi nilikuwa senior land surveyor, nikaacha kazi nikaenda kujiajiri
Wewe ukwepeshe vipi ila mishahara yao ndo hiyo- ofisa wa tra analipwa mara 5 ya ofisa wa magereza, police nk
-Tra Kuna mkurugenzi mkuu?
Umeishia darasa la ngapi? Tra inaongozwa na Kamishna Mkuu, akisaidiwa naibu Kamishna Mkuu,chini yake Kuna MakaMishna wa idara mbalimbali like Kamishna wa forodha na ushuru wa bidhaa, Kamishna wa kodi za ndani, Kamishna wa vat, Kamishna wa large tax payers, halafu kuna wakurugenzi, chini yake Kuna Mameneja wa mikoa,meneja wa wilaya.
- Tra Kuna mtu anaitwa mchambuzi wa kodi? Wanaitwa Tax Auditors (wakaguzi wa kodi) Hawa kazi yao ni kufanya hesabu Kwa njia ya ukaguzi na kukuandikia kodi unayotakiwa kulipa.
- ulivyokuwa mjinga, yaani principal tax management officer anazidiwa na senior tax officer? Kati ya senior na principal nani mkubwa kicheo? Ndio maana nikakwambia kuwa hiyo ni taarifa ya uongo,
Wewe ukwepeshe vipi ila mishahara yao ndo hiyo
We jamaa kila mtu akiwa against na wewe huwa unalazimisha kuwa na yeye anatokea huko huko anakotetea, ndege tAi baada ya kuwa against na wewe ukamvisha upoti wakati mwenyewe kasema hayupo huko ila ni anapenda tu hizo kazi-Sasa unajilinganisha na maofisa wa tra? hivi unajua mshahara wa ofisa wa tra anayeanza kazi anamzidi ACP,?
-Sio story za Vijiweni Mimi ni consultant nimefanya consultancy hadi kwenye mashine ya umma, Kuna mengi mazuri
- hama huko wenzio wanacheki fursa kwenye mashirika ya umma wewe umekomaa kuingia gadi, mafungio,
-hivi unajua gharama ya kujenga Slab 1 ya gorofa la square mita 200 ni sh ngapi? Kujenga ghorofa sio rahisi kama unavyodhaniNani kakwambia saa hivi kuna hicho kitu cha kuhama kama unavyodai wewe, saa hivi acha kazi ndo uende unakokutaka Sema tunabishana na watu ambao wapo kwa mfumo kwa hiyo sio kosa lako.
Kwani kwako wewe ghorofa ndo kipimo cha kwamba umetoboa au wewe huna ndo maana unaona ni kipimo kizuri cha kwamba wewe ni Tajiri, kuna watu mimi nawafahamu ni wana hela kinyama hata hao unaowaongelea wakasome lakini hivyo vi ghorofa unavyodai hawana na kuna nnao waahamu huu mkoa nnao ishi wanafanya kazi Tra hizo ghorofa hawana yani unawafagilia mpaka wenyewe wakiona reply zako hivi wancheka wewe hujui wanaolipwa vizuri wewe
-jitahidi uhamie kwenye taasisi za maana,We jamaa kila mtu akiwa against na wewe huwa unalazimisha kuwa na yeye anatokea huko huko anakotetea, ndege tAi baada ya kuwa against na wewe ukamvisha upoti wakati mwenyewe kasema hayupo huko ila ni anapenda tu hizo kazi
Sasa mimi kila siku nakuambia hizo unazonivisha acha mzee na hii ni zaidi ya mara3 nakuambia na nilikuambia sitawahi kukuambia nafanya ishu gani kwenye mada ya Tpdf ukasema nipo huko, kwenye mada ya Magereza napo ukasema nipo huko na saa hivi unasema me ni Polisi na imebaki kwenye Jeshi Usu
Afisa wa police anataka kujilinganisha na afisa wa traSaveya 😂😂😂 we jamaa naona unapiga watu spana
😅😅😅😅😅Afisa wa police anataka kujilinganisha na afisa wa tra
Ule mjadala nimecheka sanaa😅😅mengine tukae kimyaa tuu🤐Afisa wa police anataka kujilinganisha na afisa wa tra
Hakuna siri. Sasa we na degree yako ukipata kazi baada ya kumaliza mafunzo kule CCP unaanza kulinda bank au kwa mkuu wa mkoa kama miaka mitano halafu uliomaliza nao chuo wanakuja bank kufanya yao wewe unatoa macho.Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko
Asantni🙏
usijisumbue watakugundua kwenye vipimo watakutoa.Dah nna shida ya mgongo kidogo ila ivoivo nitaenda kupambana ukouko Hadi kieleweke
wewe wa fani utavumilia kuwa mlinzi miaka mitano au zaidi? Maana kabla hawajakupa nyota yako lazima uwe mlinzi wa geti au kwenye nyumba za viongozi usiku au kwenye ma bankNani kukudanganya...Kila level ya elimu Ina idadi ya wanao hitajika...!
Kwani na wale wa degree nao huwaga wanalinda bank??Hakuna siri. Sasa we na degree yako ukipata kazi baada ya kumaliza mafunzo kule CCP unaanza kulinda bank au kwa mkuu wa mkoa kama miaka mitano halafu uliomaliza nao chuo wanakuja bank kufanya yao wewe unatoa macho.
Mbona mnadanganya watu!? Ukiajiriwa kwa elimu yako either Diploma,Degree ya kitu flani....mkitoka mafunzoni kwenda mikoani au wengine HQ na kwenye vikosi mbalimbali kama Reli,Ufundi,Band wale wa mikoani kuna ambao wanapangwa wilayani na wengine kwa RPC...mkifika mkoani kuna utayari mnafanya tenaa baada ya kutoka TPS ila mkishamaliza huo utayari ndo kila mtu anapelekwa alikopangiwa na wale wa mkoani mara nyingi wanakuaga na elimu mfano Wahasibu,,Forensic,,,HR,,,etc mtapiga malindo na kuingia CRO kwa miezi kidgo ili kupata uzoefu wa hapo then baadae mnaenda kwenye Section zenu mlizopangwa nazo As hapo RPC....wanaobaki kupiga malindo daily ni hawa 4m4,na 6 iwe GD au Field force kwanza ni lazima ujue piaa hta force number zinatofautiana kwa 4m4 na 6 ukicompare na Degree..mtu aliyeajiriwa kwa elimu yake iwe Diploma flani au degree flani anaenda kufanya kazi kwa kile alichosomea directly kwa sababu hata mshahara anapokeaa kulingana na elimu yake aliyoajiriwa nayo.Kuhusu Cheo hiko ni baada ya miaka kadhaa sasa kulingana na upandishwaji.wewe wa fani utavumilia kuwa mlinzi miaka mitano au zaidi? Maana kabla hawajakupa nyota yako lazima uwe mlinzi wa geti au kwenye nyumba za viongozi usiku au kwenye ma bank
mimi ngoja nicheke tuMbona mnadanganya watu!? Ukiajiriwa kwa elimu yako either Diploma,Degree ya kitu flani....mkitoka mafunzoni kwenda mikoani au wengine HQ na kwenye vikosi mbalimbali kama Reli,Ufundi,Band wale wa mikoani kuna ambao wanapangwa wilayani na wengine kwa RPC...mkifika mkoani kuna utayari mnafanya tenaa baada ya kutoka TPS ila mkishamaliza huo utayari ndo kila mtu anapelekwa alikopangiwa na wale wa mkoani mara nyingi wanakuaga na elimu mfano Wahasibu,,Forensic,,,HR,,,etc mtapiga malindo na kuingia CRO kwa miezi kidgo ili kupata uzoefu wa hapo then baadae mnaenda kwenye Section zenu mlizopangwa nazo As hapo RPC....wanaobaki kupiga malindo daily ni hawa 4m4,na 6 iwe GD au Field force kwanza ni lazima ujue piaa hta force number zinatofautiana kwa 4m4 na 6 ukicompare na Degree..mtu aliyeajiriwa kwa elimu yake iwe Diploma flani au degree flani anaenda kufanya kazi kwa kile alichosomea directly kwa sababu hata mshahara anapokeaa kulingana na elimu yake aliyoajiriwa nayo.Kuhusu Cheo hiko ni baada ya miaka kadhaa sasa kulingana na upandishwaji.