Tudokezee kidogo kiongoziWewe hujui mzee hivi unajua ya JW wana kitengo nyeti cha Intelligensia kinaitwa MI=Military Intelligence kwa hiyo usibishe hivyo hivyo hata magereza wana yao ila ya polisi ni kiboko mzee, nkisema kiboko elewa kiboko ngeongea mengi lakini humu sio mahala pale.
Hiyo military Intelligence kuna mwalimu wangu alitumwa kwenye mission flani naishia hapo narudia tena ya polisi ni kiboko mzee
Oya huku nilipo kuna jamaa mmoja ni nyota moja wa magereza ..anatembelea DISCOVERY 4 piruuuuu kabisaSijawahi kuona police anaendesha Range Rover, the same to magereza, uhamiaji, zimamoto
We jamaa tembea uone, nilipo huku kuna Polisi na ni Constable ila ana maisha balaa ukiambiwa kwenye akaunti yake kuna shingapi huwezi amini acha huyo mwingine yupo Kahama hatari mzee kwa hiyo acha kukaririSijawahi kuona police anaendesha Range Rover, the same to magereza, uhamiaji, zimamoto
Oya huku nilipo kuna jamaa mmoja ni nyota moja wa magereza ..anatembelea DISCOVERY 4 piruuuuu kabisa
Acha hiyo sasa kuna Koplo wa polisi ana Mabasi ya mikoani,ana nyumba za kupangisha kama uchafu ana hoteli hadhi ya nyota 3
Hao wote ni wafanyabiashara wakubwa mno,,,,,
Nb;kila mtu ana riziki yake mkuu na kila mtu ana mafanikio yake na njia ya kuyafikia hayo mafanikio ni tofauti.
We jamaa tembea uone, nilipo huku kuna Polisi na ni Constable ila ana maisha balaa ukiambiwa kwenye akaunti yake kuna shingapi huwezi amini kwa hiyo usikariri
Daah wewe jamaa kuna mawili umri wako ni mdogo sana au huna exposure bado hujatembea maeneo mengi ,sogea hapo NYAMONGO MGODINI kuna pot mmoja ana shimo hapo mgodini jamaa anatembelea Defender hizi new model piruuuu kabisa....
- hiyo gari ya Discovery iv hana uwezo wa kuihudumia, kipato chake ni kidogo sana, ni vigumu sana kuweza hata kununua Discovery Kwa sababu vipato vyao ni vidogo mno, angekuwa tra ningekubali ni kweli, ofisa wa tra analipwa mara 5 ya ofisa wa magereza
- koplo awe na hoteli nyota 3 basi Kamishna atamiliki hoteli ya serena hizo ni story za Vijiweni vya kahawa
Daah wewe jamaa kuna mawili umri wako ni mdogo sana au huna exposure bado hujatembea maeneo mengi ,sogea hapo NYAMONGO MGODINI kuna pot mmoja ana shimo hapo mgodini jamaa anatembelea Defender hizi new model piruuuu kabisa....
Siwezi kukudanganya maana hainisaidiii chochote kwenye maisha yangu ,,hao jamaa ninaokuambia ni wafanyabiashara wakubwa mno hapa mjini na wanajulikana na kila mtu
Unashangaa hao jamaa kuna constebo ana nyumba kali mnooo na anatembelea Mazda Cx5 piruùuu kabisa
Watu wamejiwekeza mzee ,,,,
Sawa chifu .
- Kuna pot mmoja, konstebo mmoja?
- exposure ninayo nimefanya consultancy na mashirika ya umma mengi nimeona standard ya maisha yao ni nzuri mara dufu kuliko police, magereza, na ndio maana inakuwa ajabu Kwa konstebo kumiliki cx5 kama kwamba ni kitu Cha ajabu, ndio maana ofisa wa tra akimiliki cx5 ni kawaida lakini Kwa police ni ajabu
- Kwa kipato Cha konstebo ambacho hakifikii hata robo ya kipato Cha ofisa wa tra lazima nione ajabu au haiwezekani au labda ni mla rushwa
Ndio maana ni ajabu kwao kumiliki cx5 lakini Kwa ofisa wa tra anayelipwa mara 7 yako sio ajabu,Sawa chifu .
Kwani range rover ni nini we maskini? Range anaendesha hadi Juma Lokole nini kwani?Sijawahi kuona police anaendesha Range Rover, the same to magereza, uhamiaji, zimamoto
Konstebo mwenye degree ya afya anafika mpka 40 mzee....Ndio maana ni ajabu kwao kumiliki cx5 lakini Kwa ofisa wa tra anayelipwa mara 7 yako sio ajabu,
Huyo konstebo akienda kukopa hata 15m hapati
-Jitahidi uende TRA ufanye kazi huko
Wengine wanafanya biashara mzee si tunawaona huku ,,na tena wanatuzidi hadi mitaji ya biasharaMimi ni mtoto wa kota ukiona Askari anamiliki nyumba ya kuanzia 100M plus kuanzia na gari 50M
Hizo ni rushwa na wizi
--Konstebo mwenye degree ya afya hazidi 1.5m tena hiyo ni degree ya medicine take-home haifiki laki9,Kwa degree ya pharmacy, nursing take-home haizidi 800,000/-, Kwa salary scale hiyo hakopesheki 40m,Konstebo mwenye degree ya afya anafika mpka 40 mzee....
UMenipa somo mzee ila mm siwez kufanya kazi TRA maana elimu tulikimbia shule acha tuendeeelee na ujasiriamali wetu
Kamuulize Juma lokole kaipataje, jaribu na wewe kutumia mbinu ya Juma lokole kama utapata range RoverKwani range rover ni nini we maskini? Range anaendesha hadi Juma Lokole nini kwani?
Pumbavu. 😂😂😂😂
Tatizo mkuu ww unafanya comparison ya TRA na Wizara mambo ya ndani,hapo ndio unapokosea--Konstebo mwenye degree ya afya hazidi 1.5m tena hiyo ni degree ya medicine, Kwa degree ya pharmacy, nursing take-home haifiki 900,000/-, Kwa salary scale hiyo hakopesheki 40m,
Mishahara ni midogo hiyo 1.5m tra sio salary ya hata mtu mwenye diploma,