Msolid extra
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 165
- 127
Na ucheke kweliimimi ngoja nicheke tu
Na ucheke kweliimimi ngoja nicheke tu
ni hivi hata jeshini unaweza kuingia na masters kabisa ila siyo guarantee ukapata nyota unaweza kuchezea V za kutoshaKwani na wale wa degree nao huwaga wanalinda bank??
Vp na hiiNa ucheke kwelii
Kumbe hata hujui mamboo ndo nawewe unatumia fursa ya kujuzwa😅😅😅!!Vp na hii
ni hivi hata jeshini unaweza kuingia na masters kabisa ila siyo guarantee ukapata nyota unaweza kuchezea V za kutosha
ila moyoni mwako ukweli unaujua. tumefunga mjadalaKumbe hata hujui mamboo ndo nawewe unatumia fursa ya kujuzwa😅😅😅!!
Haujui lolote acha kudanganya watu hapaa....ila moyoni mwako ukweli unaujua. tumefunga mjadala
JWTZ kule naona wapo tofauti tena kama mtu kabahatika ile cardet ya monduli ya form six ndo balaa dogo wa miaka 25 tu unakuta luten tayari na unakuta captain tu ana Miaka 30, ila nenda polisi sasa sjui Kuna kubaniana vyeo kule inspector wa polisi unakuta age imeenda balaa, ila JWTZ Wana utaratibu mzuri sana.ni hivi hata jeshini unaweza kuingia na masters kabisa ila siyo guarantee ukapata nyota unaweza kuchezea V za kutosha
JWTZ muundo unawabeba Wale Wanaochukuliwa kutokea Six wanaenda kusoma pale Monduli(TMA) Miaka 3 unasoma BSc In Military Science na wengine wanapelekwa nje kusoma taaluma mbalimbali kwaio unakuta ni mdogo keshakula Nyota,,ila pia kuna wengine hua wanaitwa REGULAR hao wanasomaga Monduli hapohapo Wao wanakua na taaluma zao na pale wanasoma mwaka 1 na wote wanamaliza wakati mmoja......Sasa Polisi mpka ufike muda wako wa kwenda kozi ya Mkaguzi Msaidizi(Nyota Moja) sio Leo hta iwe uliingia na Degree yakoo.JWTZ kule naona wapo tofauti tena kama mtu kabahatika ile cardet ya monduli ya form six ndo balaa dogo wa miaka 25 tu unakuta luten tayari na unakuta captain tu ana Miaka 30, ila nenda polisi sasa sjui Kuna kubaniana vyeo kule inspector wa polisi unakuta age imeenda balaa, ila JWTZ Wana utaratibu mzuri sana.
Umeiwekaa vizurii sanaa Chief 🙌🙌....Vijana hua wanadanganya watu kama huyo mmoja aliyekuja hapoo akadanganya watu kwamba wenye degree wanalindaa,,,hapa Umemalizaa Kilaa Kituuu 💯💯BIG UP SIR👍Utaratibu wa kupanda vyeo Jw na Polisi ni tofauti sana
Jw unaweza kuwa una hata masters yako lakini nyota utaisikia kwenye wenzako lakini kwa Polisi ukiwa na bachelor degree uwezekano wa kupata nyota ni mkubwa as long as huna makando kando
Ni hivi kwa Polisi kama umesajili elimu ya Shahada utaratibu unasema unatakiwa ukae miaka mi3 baada ya hapo utapewa promotion ya kwenda SPECIAL SEARGENT baada ya hapo mda wowote jua DPA panakuita ndo maana kwa Polisi utakuta kuna Maofsa wazee kwanini, unakuta kaingia labda ana form4 ila kasoma akiwa kazini akamaliza ndo hivyo unaona mpaka unwapata hao ila kuna wengine hiyo special seargent hawaendi ila inatoka order moja kwa moja kuwa wakapige kozi ya nyota ni kutokana na uhitaji wa Jeshi.
Kuna mtu hapo anauliza kuwa wenye degree wanaingia malindo?
Ni hivi ukiwa na degree maana yake unakuwa na professional ko asilimia kubwa utaenda kitengo kinachohusu professional yako kama wewe ni afya basi utaenda kwenye maZahanati na n.k
Kingine asilimia kubwa ya wanaotoka depo wakiwa na elimu mara nyingi wanaenda PolisiHQ, vituo vya Polisi, wilayani na kwa ma RPC's maana inaminika huko kuna kazi za kutumia akili zaidi
Mwisho: Katika jeshi la Polisi kikosi kinachoongoza askari wake kujiendeleza kielimu ni FFU(Field force Unit)
Kwamba ukiwa na degree hauingiii malindo??Umeiwekaa vizurii sanaa Chief 🙌🙌....Vijana hua wanadanganya watu kama huyo mmoja aliyekuja hapoo akadanganya watu kwamba wenye degree wanalindaa,,,hapa Umemalizaa Kilaa Kituuu 💯💯BIG UP SIR👍
angalia linkni hivi hata jeshini unaweza kuingia na masters kabisa ila siyo guarantee ukapata nyota unaweza kuchezea V za kutosha
Angalia linkVp na hii
ni hivi hata jeshini unaweza kuingia na masters kabisa ila siyo guarantee ukapata nyota unaweza kuchezea V za kutosha
Inategemea uhitaji wa elimu yako kwenye kituo husika. Kama umesomea uhasibu ila kituoni kwako wahasibu wapo, basi wewe unakuwa kwenye kazi za kawaida, ulinzi ikiwemo.Kwamba ukiwa na degree hauingiii malindo??
Naaam Vijana waokote Madini menginee hapaa💯💯Inategemea uhitaji wa elimu yako kwenye kituo husika. Kama umesomea uhasibu ila kituoni kwako wahasibu wapo, basi wewe unakuwa kwenye kazi za kawaida, ulinzi ikiwemo.
Ila hii inatokana hasa na askari aliyeajiriwa form 4 lakini yeye akajiendeleza binafsi. Sababu, wakati unajiendeleza, ofisi inawezekana kwa muda huo haina uhitaji, kwahiyo unamaliza degree basi utapiga kazi za ulinzi ila mshahara wako utapandishwa.
Ila kama umeajiriwa na degree moja kwa moja, maana yake, ofisi inawahitaji hivyo ukipangiwa kituo, unaenda kuitumikia degree yako. Kama umesomea mifugo, basi utakuwa unatibu farasi na mbwa. Kama Daktari, utaenda hospitali. Kama Engineer, utaenda kwenye garage au viwanda, kama IT, utaenda ofisi yako ya IT.
Usiwadanganye vijana kaka. ukweli umuweka mtu huruOna unavyojidanganya kwa kuchukua clips za Mswax info huko youtube....wewee hatuwezi kuendeleaa kukuelimisha kwa sabab ushajazwa uongo na hizo clips Uchwara endelea kudanganywaa hivyohivyoo🚮🚮
Nidanganye kwa lipi!? Mimi na wengine wawili tumeeleza the same pamoja Santa na Extroverted Introvert wamefafanuaa....iko hivi siko hapa kuaminisha watu au kukuaminisha wewe ukitaka chukua ukitaka Acha,,,Sina Msaada mwingine na wewe..Usiwadanganye vijana kaka. ukweli umuweka mtu huru
Kakaa achana nayoo Tuu vijana wa humu hata uwaeleze vipi bado wataendelea kushikiliaa ujinga walionaoo...ulishawaeleza hawaelewi Achana Nao waendelee kukumbatiaa uongo wanaouamini.Sijaifungua hiyo clip hapo juu na sitaki kuifungua kwa aliyeifungua inasemaje kwa muhtasari