Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,090
- 9,432
Ahhahahaha wazee wa kazi hampoiWako wapii hao matajirii tuwafunguliee jarada la uchunguziiii😀
Ahhahahaha wazee wa kazi hampoiWako wapii hao matajirii tuwafunguliee jarada la uchunguziiii😀
TUelekeze walipoo PotiiiAhhahahaha wazee wa kazi hampoi
Sasa ni kitu cha maana sana hadi kusimangia watu kama ulivyowasimangia?Kamuulize Juma lokole kaipataje, jaribu na wewe kutumia mbinu ya Juma lokole kama utapata range Rover
Mimi sio mwenzenu kaka japo mpaka sasa hv napenda masuala ya jeshi jeshi sanaTUelekeze walipoo Potiii
Mwenzao kina nanii!? Hakuna potii hapaa sie waganga njaaa tuu tupo hapa tuna jinx tu...ila Ndege Tai bhana ulipoteaga ukarudi mwaka jana jana Octber watu walikupongeza kwenye Uzi kwa kumaliza Depo ila hua unakana mzee😅😅Sema freshhMimi sio mwenzenu kaka japo mpaka sasa hv napenda masuala ya jeshi jeshi sana
Kumbe poti, mwambie apambane aombe Uhamisho kuna mapoti kibao wamehamia kwenye mashirika ya ummaMwenzao kina nanii!? Hakuna potii hapaa sie waganga njaaa tuu tupo hapa tuna jinx tu...ila Ndege Tai bhana ulipoteaga ukarudi mwaka jana jana Octber watu walikupongeza kwenye Uzi kwa kumaliza Depo ila hua unakana mzee😅😅Sema freshh
- . Ndio sasa umeelewa hoja yangu kwamba kuna baadhi ya vitu like discovery ukimkuta ofisa wa tra anaendesha hushangai, Ila kukuta inspector anaendesha discovery unashangaa kwa sababu kipato chake ni robo kwa ofisa wa traTatizo mkuu ww unafanya comparison ya TRA na Wizara mambo ya ndani,hapo ndio unapokosea
Salary scale zao ni tofauti kabisa ,,,,
Tukirudi nyuma kwenye mada yako ulionyesha dhahiri kwamba hakuna soja mwenye life status nzuri,the thing which is not true ndio maana nikakuambia kuna watu wana side hustles na zimekubali kweli kweli
NIpo mzee kanda ya ziwa napambana kulima na kufanya biashara za mazao sema ndoto yangu nilikua napenda sana niwe COMANDO wa JESHI Mwenye level kubwa ya elimu......Mwenzao kina nanii!? Hakuna potii hapaa sie waganga njaaa tuu tupo hapa tuna jinx tu...ila Ndege Tai bhana ulipoteaga ukarudi mwaka jana jana Octber watu walikupongeza kwenye Uzi kwa kumaliza Depo ila hua unakana mzee😅😅Sema freshh
Hatukua tunabishana ila nilikua namtolea dhana yake negative kwamba hamna Mapot ambao kimaisha wamejipataJobless acheni kubishana ujinga nendeni mkaombe nafasi za magereza zimetangazwa. NOTE MAFANIKIO YA MTU YANATOKANA NA JITIHADA BINAFSI. hata ukilipwa milioni 10 kama hauna nidhamu ya pesa, mafanikio utayasikia kwa jirani. Asante nawasilisha
Hahahahaaa auu siooo😀NIpo mzee kanda ya ziwa napambana kulima na kufanya biashara za mazao sema ndoto yangu nilikua napenda sana niwe COMANDO wa JESHI Mwenye level kubwa ya elimu......
Vijana Wapya Depo CCP Moshi Watakuwa kozi Kwa kipindi Gani? Miezi 6 au 9 Au MWAKA?Hapana ila nimeishi maisha yangu mengi na watu waliopita ccp kwa kifupi Mimi ni mtoto wa kota...! Police wamenilea na kunisomesha...!
Hakuna jambo la police ambalo silifahamu😂😂😂
Miezi 6 ili iwejee ??ni mwendo wa mwaka tuuVijana Wapya Depo CCP Moshi Watakuwa kozi Kwa kipindi Gani? Miezi 6 au 9 Au MWAKA?
Depo la Miezi 6 lilishaishiaa Zamaniii sio skuiziiiVijana Wapya Depo CCP Moshi Watakuwa kozi Kwa kipindi Gani? Miezi 6 au 9 Au MWAKA?
Wewe jamaa hivi huwa unashirikisha ubongo wako kweli?
- kipato Cha konstebo ni kidogo sana, hayo maisha unayoyasemea ni kayapata Kwa kubambikia kesi nk
- Jiulize Kwa nini ukiona police, magereza, uhamiaji anamiliki Discovery watu wanashangaa lakini Kwa ofisa wa tra, ngorongoro, EWURA, watu hawashangai?
- Ukitaka kuthibitisha nenda makao makuu ya TRA pale Stesheni utaona aina za magari ya kifahari yaliyopaki, uende makao makuu ya Police, magereza, uhamiaji sanasana utakuta ist,vitz tena nyingi zile chakavu
- Umetoa sample ya Police wawili tu,
Hahaha! We jamaa ni mbishi halafu nimegundua unapenda sikiliza stori za vichochoroni sana ndo maana una kuja kudanganya hapaNdio maana ni ajabu kwao kumiliki cx5 lakini Kwa ofisa wa tra anayelipwa mara 7 yako sio ajabu,
Huyo konstebo akienda kukopa hata 15m hapati
-Jitahidi uende TRA ufanye kazi huko
Huyu jamaa yeye anaamini maisha unayatengeneza kwa mshahara tu kitu ambacho kwa mtu ambae anataka kufanikiwa ni haiwezekani, side hust narudia tena side hustleTatizo mkuu ww unafanya comparison ya TRA na Wizara mambo ya ndani,hapo ndio unapokosea
Salary scale zao ni tofauti kabisa ,,,,
Tukirudi nyuma kwenye mada yako ulionyesha dhahiri kwamba hakuna soja mwenye life status nzuri,the thing which is not true ndio maana nikakuambia kuna watu wana side hustles na zimekubali kweli kweli
-Sasa unajilinganisha na maofisa wa tra? hivi unajua mshahara wa ofisa wa tra anayeanza kazi anamzidi ACP,?Hahaha! We jamaa ni mbishi halafu nimegundua unapenda sikiliza stori za vichochoroni sana ndo maana una kuja kudanganya hapa
Wewe jamaa hivi huwa unashirikisha ubongo wako kweli?
Narudia acha kukariri mzee, wewe kila unaemuona amefanikiwa ki maisha ni ametumia njia ambazo sio basi kama ni hivyo asilimia kubwa ya Mapolisi ni wana hela sababu wanakula rushwa sio?
Acha hizo wewe watu wanajiongeza, akili za kijasiriamali zimelala pale acha kukebehi watu me yule jamaa namfahamu na hadi anachokifanya kinajulikana kwa hiyo acha dharau
Hao wawili ni mimk nnao wafahamu ila kuna wengine zaidi na zaidi, yani wewe Mfano Mwalimu akifanikiwa utasema kuwa huyu anapiga dili haramu ndo maana kafanikiwa,tuliza kichwa watu kwenye maisha ya kawaida wanajiongeza kinoma
We Tra nani bhana, hawa hawa Tra ambao wanakula rushwa kwenye biashara za watu na ukiwanyima wanakufungia biashara hivi unajua watu wanaokula mshahara mzuri wewe- . Ndio sasa umeelewa hoja yangu kwamba kuna baadhi ya vitu like discovery ukimkuta ofisa wa tra anaendesha hushangai, Ila kukuta inspector anaendesha discovery unashangaa kwa sababu kipato chake ni robo kwa ofisa wa tra