- Side hustle mbona % kubwa ya askari wanaomba uhamisho kwenda kwenye mashirika ya umma? Si wangebaki huko huko, mtu unafanya kazi miaka 10 unalipwa 1.5m na viposho vya chai lazima uhameHuyu jamaa yeye anaamini maisha unayatengeneza kwa mshahara tu kitu ambacho kwa mtu ambae anataka kufanikiwa ni haiwezekani, side hust narudia tena side hustle
Hawa ndo wakikaaga wakiona mtu ana kipato cha kawaida halafu kafanikiwa wanasema huyu kaua ndugu hahah atembee aone
-Mimi binafsi sijawahi kuona askari magereza anaGorofa, lakini maofisa wa tra, ngorongoro,bodi ya michezo ya kubahatisha wengi sana nimewaona Wana magorofa,
- Mimi niliacha kazi nilikuwa senior land surveyor, nikaacha kazi nikaenda kujiajiri