Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Hapa kuna orodha ya baadhi ya vyeo vya polisi nchini Tanzania pamoja na makadirio ya mishahara yao. Mishahara inaweza kutofautiana kulingana na kiwango cha uzoefu, elimu, na nafasi maalum za kazi:

### Vyeo vya Polisi na Makadirio ya Mishahara
1. Koplo (Constable):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 300,000 - 450,000 kwa mwezi

2. Koplo Mkuu (Corporal):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 350,000 - 500,000 kwa mwezi

3. Sajenti (Sergeant):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 400,000 - 550,000 kwa mwezi

4. Staff Sajenti (Staff Sergeant):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 450,000 - 600,000 kwa mwezi

5. Inspekta Msaidizi (Assistant Inspector):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 500,000 - 650,000 kwa mwezi

6. Inspekta (Inspector):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 600,000 - 800,000 kwa mwezi

7. Mkaguzi Msaidizi (Assistant Superintendent):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 700,000 - 900,000 kwa mwezi

8. Mkaguzi (Superintendent):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 800,000 - 1,000,000 kwa mwezi

9. Mrakibu Msaidizi (Assistant Commissioner):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 1,000,000 - 1,200,000 kwa mwezi

10. Mrakibu (Commissioner):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 1,200,000 - 1,500,000 kwa mwezi

11. Mrakibu Mkuu (Senior Commissioner):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 1,500,000 - 2,000,000 kwa mwezi

12. Kamishna Msaidizi (Assistant Commissioner of Police):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 2,000,000 - 2,500,000 kwa mwezi

13. Kamishna (Commissioner of Police):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 2,500,000 - 3,000,000 kwa mwezi

14. Kamishna Mkuu (Inspector General of Police - IGP):
- Makadirio ya Mshahara: TZS 3,000,000 na zaidi kwa mwezi

### Posho na Marupurupu
Mbali na mshahara wa msingi, polisi nchini Tanzania pia hupata posho na marupurupu mbalimbali, kama vile:

  • Posho ya Nyumba: Inategemea cheo na eneo la kazi, inaweza kuwa TZS 50,000 - 200,000 kwa mwezi.
  • Posho ya Usafiri: Inategemea cheo na aina ya kazi, inaweza kuwa TZS 50,000 - 150,000 kwa mwezi.
  • Posho ya Hatari: Kwa kazi zinazohusisha hatari kubwa, inaweza kuwa TZS 100,000 - 300,000 kwa mwezi.
  • Posho za Kazi za Ziada: Inategemea aina ya kazi na muda wa ziada, inaweza kuwa TZS 50,000 - 150,000 kwa mwezi.

Makadirio haya ni ya jumla na yanaweza kutofautiana kulingana na sera za ajira, bajeti ya serikali, na mabadiliko ya kiuchumi. Kwa taarifa za kina na sahihi zaidi, ni vyema kuwasiliana moja kwa moja na Jeshi la Polisi la Tanzania au kitengo cha utumishi cha polisi.
Nyie hii mishahara mnaitoa wapi asee mbona mnadanganya watu sana asee af mbona mnawa didimiza sana
 
Dah hawa majamaa inaonekana form 6 hata kama unavigezo umri ukiwa umeenda enda wanakuchinja juu kwa juu, hii mimi ni mara ya tatu naomba hawaniiti hata usaili na vigezo ninavo, Mungu awatangulie mlioitwa!!
Mimi wala umri haujaenda aisee
 
Katika kitu polisi inawashinda majeshi mengine ni Inteligensia
Aiwashindi inawezekana wapo sawa...mafunzo ya intelligence ya majeshi yote tulio nayo ni sawa isipo kuwa kila Jeshi lina mipaka yake...

Uhamiaji awezi kufanya kazi za polisi,
Polisi awezi kufanya kazi za uhamiaji,
Jeshi la Wananchi aliwezi kufanya kazi za majeshi mengine... na hicho ndicho kina ifanya intelligence ya polisi ionekane ina nguvu kuliko majeshi mengine...!

Kuna baadhi ya mission majeshi yetu yote uhungana pia...lakini wenyewe ndani ya hiyo mission wanajuana nani ni nani na mpaka wake ni upi mfano jengo la KARIAKOO lililo poromoka ile kazi ki protocols ilikuwa ni ya kikosi cha uhokoaji...ila kwasababu ilikuwa inabeba maisha ya watu wengi...majeshi mengine yalishiriki...ila nadhani UHOKOAJI {FIRE} ndio walikuwa incharge wa ile mission wengine wote walikuwa nyuma ya uokoaji {fire}...!

Kuna mafunzo majeshi yote uungana na kufanya kozi pamoja....!

kwa kukuongezea tu polisi wanaonekana sana kwenye kila kitu kwani ndio jeshi kongwe na inawezekana majeshi yote tulio nayo yamezaliwa ndani ya jeshi la polisi...! Hakuna jeshi lenye mafunzo kulizidi jengine​
Katika kitu polisi inawashinda majeshi mengine ni Inteligensia
 
Aiwashindi inawezekana wapo sawa...mafunzo ya intelligence ya majeshi yote tulio nayo ni sawa isipo kuwa kila Jeshi lina mipaka yake...

Uhamiaji awezi kufanya kazi za polisi,
Polisi awezi kufanya kazi za uhamiaji,
Jeshi la Wananchi aliwezi kufanya kazi za majeshi mengine... na hicho ndicho kina ifanya intelligence ya polisi ionekane ina nguvu kuliko majeshi mengine...!

Kuna baadhi ya mission majeshi yetu yote uhungana pia...lakini wenyewe ndani ya hiyo mission wanajuana nani ni nani na mpaka wake ni upi mfano jengo la KARIAKOO lililo poromoka ile kazi ki protocols ilikuwa ni ya kikosi cha uhokoaji...ila kwasababu ilikuwa inabeba maisha ya watu wengi...majeshi mengine yalishiriki...ila nadhani UHOKOAJI {FIRE} ndio walikuwa incharge wa ile mission wengine wote walikuwa nyuma ya uhamiaji...!

Kuna mafunzo majeshi yote uungana na kufanya kozi pamoja....!

kwa kukuongezea tu polisi wanaonekana sana kwenye kila kitu kwani ndio jeshi kongwe na inawezekana majeshi yote tulio nayo yamezaliwa ndani ya jeshi la polisi...!​
Wewe hujui mzee hivi unajua ya JW wana kitengo nyeti cha Intelligensia kinaitwa MI=Military Intelligence kwa hiyo usibishe hivyo hivyo hata magereza wana yao ila ya polisi ni kiboko mzee, nkisema kiboko elewa kiboko ngeongea mengi lakini humu sio mahala pale.

Hiyo military Intelligence kuna mwalimu wangu alitumwa kwenye mission flani naishia hapo narudia tena ya polisi ni kiboko mzee
 
Wewe hujui mzee hivi unajua ya JW wana kitengo nyeti cha Intelligensia kinaitwa MI=Military Intelligence kwa hiyo usibishe hivyo hivyo hata magereza wana yao ila ya polisi ni kiboko mzee, nkisema kiboko elewa kiboko ngeongea mengi lakini humu sio mahala pale.

Hiyo military Intelligence kuna mwalimu wangu alitumwa kwenye mission flani naishia hapo narudia tena ya polisi ni kiboko mzee
Hivi umesoma na kuelewa nilicho andika...?
 
Back
Top Bottom