Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Aha
kwa jinsi ambavyo naona mda umepita tokea wa kwanza waingie mwezi wa 9 assume second selection tayari..kwanasa course ua ni miezi mingapi leo ni mwezi wa 5 tokea wanaanze course
Kwa
kwa jinsi ambavyo naona mda umepita tokea wa kwanza waingie mwezi wa 9 i assume second selection tayari..kwan course ua ni miezi mingapi leo ni mwezi wa 5 tokea wanaanze course
Ni minne kaka mbaka sasa mana walienda mwezi wakumi ivi degree walifika ata miatanao?
 
kwa jinsi ambavyo naona mda umepita tokea wa kwanza waingie mwezi wa 9 i assume second selection tayari..kwan course ua ni miezi mingapi leo ni mwezi wa 5 tokea wanaanze course
Ikitokea third selection ni baati sana aisee Tuombe mungu mana wale walienda kitambo sana nimiezi minne imepita sasa
 
Back
Top Bottom