Nguvuyabwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 203
- 494
Wakuu naomba kuuliza/msaada. Hivi kwenye qualification unapokua una add details, ukichagua auto search kunakua hakuna haja ya ku attach vyeti?. Maana nilikua namfanyia mtu application nilivyofika sehemu ya kuadd qualification nikachagua pale kwenye auto search baada ya kuweka reg No, zikaja details zote ila sehemu ya kuweka vyeti ndo haipo.