pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,284
- 1,733
Nisahihi kuna kamanda mmoja alishalalamika kuhusu mishahara midogo ambayo wanapokea polisi video yake ilisambaa sana . Akasema kwamba nikama wanalaana maana pesa anayopokea afisa mdogo tu halmashauri anamzidi mbali sana askari mwenye cheo kikubwa tu mwenye uzoefu zaidi ya miaka
Mkuu naikumbuka hiyo video ila na wewe wewe ukaichukua kama ulivyo?Nisahihi kuna kamanda mmoja alishalalamika kuhusu mishahara midogo ambayo wanapokea polisi video yake ilisambaa sana . Akasema kwamba nikama wanalaana maana pesa anayopokea afisa mdogo tu halmashauri anamzidi mbali sana askari mwenye cheo kikubwa tu mwenye uzoefu zaidi ya miaka 10
-Acha kudanganya watu hakuna constable formiv analipwa huo mshahara, labda awe na degree kwenda juu
- hiyo ni range ni mshahara wa a/inspector
Nilimaanisha ulitaka nkukubalie kwamba SP analipwa mshahara wa 1.5MHakipo ukimaanisha kwamba polisi wanawazidi bakabaka kwa salary scale na allowances?
Unaona sasa huna unachojua ndo maana me nakwambia we bado sana! Constable na corporal perdiem ni sawa ambayo ni laki1 kwa siku ila Sgt ni zaidi ya hapo ambayo ni laki na nusu na Kadri cheo kinavyopanda na perdiem ndo inazidi kuwa kubwa sasa nyie shida yenu mmekaririshwa na mashemeji zenuPerdiem ya sgt and other NCOS ni laki1 kwa siku and not above
Hahaha we unajua me nafanya shughuli gani mzee halafu siku nyingine usimpimie mtu kisa unabishana nae hapa acha kabisa ni mbaya hiyopamoja Santa kama mshahara wako na posho havinunui iphone 17 ujue wewe bado sana
Unaona sasa huna unachojua ndo maana me nakwambia we bado sana! Constable na corporal perdiem ni sawa ambayo ni laki1 kwa siku ila Sgt ni zaidi ya hapo ambayo ni laki na nusu na Kadri cheo kinavyopanda na perdiem ndo inazidi kuwa kubwa sasa nyie shida yenu mmekaririshwa na mashemeji zenu
Mzee yani unajua mpaka najishangaa kwanini nabishana na wewe anyway nipo ukingoni kukuacha ubishane mwenywe
Basi tuseme sp analipwa 5m kwa mwezi umeridhika?Nilimaanisha ulitaka nkukubalie kwamba SP analipwa mshahara wa 1.5M
- hakuna constable asiye na degree analipwa mshahara wa 1.5m, kama constable formiv analipwa 1.5 m basi s.inspector atalipwa 3m as mshahara kitu ambacho haiwezekani labda kwa bakabakaUmeona sasa ulivyo hujui vitu na nimekwambia hapa wewe mzee huku majeshi hujui kitu ni bora uulize uambiwe
Kuna maConstable wanakula mshahara wa 1.5M na ni nje ya posho zake zote na huyo kaanza leo kazi
- umeumia ulivyoona mshahara wako na posho havinunui iphone 17 😅😅Hahaha we unajua me nafanya shughuli gani mzee halafu siku nyingine usimpimie mtu kisa unabishana nae hapa acha kabisa ni mbaya hiyo
Yule Mzee aliingia Polisi miaka ya 90 ambapo kwa kipindi hicho formiv walikuwa wanaajirwa.Mkuu naikumbuka hiyo video ila na wewe wewe ukaichukua kama ulivyo?
Halmashauri Hawa hawa?
Basi twende mdogo mdogo kuna maswali nataka nkuulize! Yule Poti nakumbuka alikuwa ni Sgt wa Polisi na elimu yake tuseme ni form 4 sasa nakuuliza halmashauri wanaajiri mtu mwenye elimu ya form 4?
Na kama ni hamna basi huyo wa halmashauri unatakiwa umtafute angalau Polisi mwenye diploma, degree na kuendelea huko ili wawe sawa, sasa wakiwa sawa kielimu unadhani nani atatoboa hapo?
Hapa kama huna connection hutoboi mzee
Ndio watu wapeane connection ahahaHapa kama huna connection hutoboi mzee
Nidanganye umati ili nitafute nini na kwanini nifanye hivyo?
- Acha kudanganya watu, Mimi najua perdiem za sehemu nyingi sana kwenye govt ndio maana nikakutajia hadi za ppra,tra
- non officers ni laki1 acha kudanganya watu
Endelea ku-edit hivyo hivyo mpaka tutaelewana tu- hakuna constable asiye na degree analipwa mshahara wa 1.5m, kama constable formiv analipwa 1.5 m basi s.inspector atalipwa 3m as mshahara kitu ambacho haiwezekani labda kwa bakabaka
-
Yani mtu humjui na hujui pia anafanya shughuli gani unaanza kumpimia kipato chake mhh! Ni mjinga tu anayeweza kufanya kitu kama unachofanya wewe na mwanzo nkajua unajitambua kumbe mhh!- umeumia ulivyoona mshahara wako na posho havinunui iphone 17 😅😅
Wanasiasa wameingia majeshini, ni vurugu tupuHapa kama huna connection hutoboi mzee
why broWanasiasa wameingia majeshini, ni vurugu tupu