Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

sidhan kama moyo wangu utakuja kupenda tena., kama itatokea sidhan kama kitakuja kufikia kiasi kile ulichompenda A....,

Alichonifanyia hadi nikimwona mtu anayefanana naye nashtuka, naogopa, nakosa amani. hata anayetumia tu jina kama lake namwogopa pia.

Sahv napendea macho na akili tuu..., nikiona rehema za allah basi nakusogeza karibu, ukizingua nakuacha hata kama tupo katikati ya game nachomoa naondoka zangu nikatafute pesa.. kama Shehe Tito tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom