Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Daaahhh.....me hapa mwingine.......hope mwakan utakuja kutoa ushuhuda....kaa wengine walivyo fanya leo.....1 2 3 love u, 4 5 6 i mic u.....ili song nalipenda sana
Inshallah
 
Niko na madem wa3,.ni wazur sana kimwonekano,ila wote siwapend kutoka rohon...nipo nao tu kula ujana..niliempenda tuliachana miaka6 iliyopita,na mwingne mwaka m1 uliopita,from there sjapenda tena had leo.
 
Kuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang

Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda

Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?

Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini

Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman

Wacha nilie tu hakuna namna
Amekusikia Demiss. Bila shaka hutakuwa tena mpweke
 
Niko na madem wa3,.ni wazur sana kimwonekano,ila wote siwapend kutoka rohon...nipo nao tu kula ujana..niliempenda tuliachana miaka6 iliyopita,na mwingne mwaka m1 uliopita,from there sjapenda tena had leo.
Jamani. Pole mkuu. Utapenda tu siku ikifika.
 
Ndiyo nipo kwenye mapenzi, tena mazito sana...

Nampenda sana mahondaw wangu... Kimapenzi yes nampenda, kimahaba yes nampemda...

Nae ananipenda sana... Tunapendana...


Cc: mahondaw


No one like you Smart911 sweetheart.... sijui hata nisemeje Yani wewe mwanaume... am so blessed to have you Smart911 na kamwe sijutii

you are a kind of man every woman desired to be with Smart911

I love you so so so so so so much Smart911 wangu

it's almost a year Smart911 wangu kwa kipindi hiki tu umenibadilisha sana smart wangu.... si kiakili tu na kimwili Smart911 wangu ki mahondaw chako kimenenepajeeee kimetanukaaaa hatari ..

Thank you for all that Smart911 my one and only.. teh bounce back baby.....




Ailavyuuuuuuuuuuuuuuuu
 
huu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?

mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .
Acha uongo bana we miss. Sema wewe ndo hujaweza kupenda MTU ila wanaokupenda watupo wengi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom