Tupate wapi tena Rais kama huyu?

Fisadi๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Your browser is not able to display this video.
 
Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,

Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "

KWA HIYO HAPA HAJATUMBUA!,?? Ukapimwe akili
 
Bavicha hawataki kabisa kusikia wala kusoma hizi habari.
 
Sifa zote ulizotaja zinaharibiwa na fact moja tu, ameruhusu Mbowe kubambikiwa kesi feki ya Ugaidi.
 
Rais aliyemwachilia Mbowe bila masharti
 
hivi n
kumbe
hivi kumbe rais ndie mtunga sheria eeh, mie nilifikiri ni bunge atiiiiih

Haya praise team endelea!๐Ÿ˜‰
 
Rest in peace shujaa wa Afrika. JPM
 

Hadithi zile zile na kila rais hata Ndugai akiukwaa mtajikomba hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ