OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 658
- 482
WaooohNampenda Sana mama yetu Samia lkn atusaidie jambo, tamisemi Kuna shida hawa Maafisa Elimu wafumuliwe.

Tanzania ya Mama Samia inang'ara nga'raTanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake haujakamilika,
2. Rais anayeweza kutunga sheria yakuwafanya Polisi wasiwashikirie watuhumiwa kwa muda mrefu hasa baada ya kuachiwa na Mahakama wao huwakamata tena na kuwafungulia kesi ile ile Upya, Na kasi kupewa namba mpya hata kama inamiaka kumi Mahakamani, Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hili NO,
3. Rais anayeweza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kwa hila na nia ovu ya Mtangulizi wake bila kujali vyombo hivyo vilitoa ajira kwa maelfu ya Watanzania hawa Masikini kabisa,hapa niwaombe wanahabari fuateni miiko ya kazi zenu,be professional Rais Samia anawapenda msimuangushe.
4. Rais anayeweza kukutana na kinara wa Upinzani anayeishi Uhamishoni nchi Ubelgiji Mhe Tundu Antipus Mungwayi Lissu bila kujali nini watasema wasioitakia mema nchi hii,Mimi nauliza,Tanzania tupate wapi tena mtu kama huyu?
5. Rais anayeweza kudhibiti rushwa kwa kipimo cha CPI kutoka nafasi ya 94 Kati ya nchi 180 hadi kufikia nafasi ya 87 kati ya nchi 180,Kwa lugha nyepesi mtu huyu kwa muda huu mfupi amepunguza rushwa kwa nafasi 7 kidunia,Rushwa haipingwi kwa tumbuatumbua inapingwa kwa mifumo huru hasa " Uhuru wa habari "
6. Rais anayeweza kupewa Euro milioni 258 bure na Ufaransa karibu TZS 676.87BL na hii ni kutokana na mipango mizuri ya maendeleo inayoelezeka kimataifa,Nchi kama Ufaransa haiwezi kutoa pesa za bure kwa Rais asiyefahamu wapi anataka kufika,Tuunge mkono ziara hizi zinaleta matokeo makubwa kwa Taifa,
7. Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "
8. Rais anayeweza kumsamehe gaidi freeman Mbowe licha ya mahakama kuu kumtia hatiani na kumwalika Ikulu akanywa na juice ya Ikulu, ili kuimarisha udugu wetu,
9.Rais anayeamua kuvua heshima yake na kuanza kurekodi filamu ili tu nchi yake ipate watalii wakutosha, hiki ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo,
Tupate wapi tena mtu kama huyu?
Waramba asali,Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?