Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,513
- 2,196
- Thread starter
- #41
SawaSawa
SawaSawa
Wewe unalinda nini kama sisi ni Ugali?Naona wazee wa kulinda ugali mpo wanne lakini uzi unatembea tu,Ngorongoro hoyeee!
Najilinda mwenyewe mkuu!Wewe unalinda nini kama sisi ni Ugali?
Uzi umejaa matarumbeta ya LUMUMBA na unakuta ni ID nne ndani ya mtu mmoja.Naona wazee wa kulinda ugali mpo wanne lakini uzi unatembea tu,Ngorongoro hoyeee!
Mnapewa posho kidogo mnafunguka kama nini wapuuzi wakubwa nyieTunachowaomba Watanzania ni kumpa muda Mama Samia Suluhu Hassan afanye kazi.
Kwenye management and administration ya taifa matatizo hayatatuliwi tu kama kwenye family level. Kuna mengi huko jamani.
Tumuungeni mkono Mama na kila mmoja wetu atanufaika na uwepo wake hapa duniani.
To prosper anything you must first put on its shoes!!Mambo mazuri kama.haya hawatayaona ila watauliza mbona Walinzi wa Rais wamevaa barakoa zimeandikwa Zanzibar..Hovyo kabisa.
Ndio maana wakati mwingine hutakiwi kuwatendea wema watu waliozoea tabu,ni kuwaacha hivyo hivyo.
Atokee tuu mtu mwingine dizaini ya Mwendazake Ili aliharibu awe anasingizia Mabeberu na Kuwalisha wajinga propaganda.
DaaahNajilinda mwenyewe mkuu!
Vema sanaRais Samia kwakweli anastahili kuungwa mkono na kila mtu mwema wa Taifa hili,
Itatuchukua miaka mingi kumpata mzalendo mwingine kama huyu Mama,
CHADEMA lazima muone nia njema ya mtu kwa Taifa,
Natamani vyama vyote vimuunge mkono 2025 ili awe ni mgombea pekee kwa haya anayoyafanya,
Kali Sana hii mkuu, Mungu akujaalie nguvu,
A Historical HistoryTanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake haujakamilika,
2. Rais anayeweza kutunga sheria yakuwafanya Polisi wasiwashikirie watuhumiwa kwa muda mrefu hasa baada ya kuachiwa na Mahakama wao huwakamata tena na kuwafungulia kesi ile ile Upya, Na kasi kupewa namba mpya hata kama inamiaka kumi Mahakamani, Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hili NO,
3. Rais anayeweza kufungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa kwa hila na nia ovu ya Mtangulizi wake bila kujali vyombo hivyo vilitoa ajira kwa maelfu ya Watanzania hawa Masikini kabisa,hapa niwaombe wanahabari fuateni miiko ya kazi zenu,be professional Rais Samia anawapenda msimuangushe.
4. Rais anayeweza kukutana na kinara wa Upinzani anayeishi Uhamishoni nchi Ubelgiji Mhe Tundu Antipus Mungwayi Lissu bila kujali nini watasema wasioitakia mema nchi hii,Mimi nauliza,Tanzania tupate wapi tena mtu kama huyu?
5. Rais anayeweza kudhibiti rushwa kwa kipimo cha CPI kutoka nafasi ya 94 Kati ya nchi 180 hadi kufikia nafasi ya 87 kati ya nchi 180,Kwa lugha nyepesi mtu huyu kwa muda huu mfupi amepunguza rushwa kwa nafasi 7 kidunia,Rushwa haipingwi kwa tumbuatumbua inapingwa kwa mifumo huru hasa " Uhuru wa habari "
6. Rais anayeweza kupewa Euro milioni 258 bure na Ufaransa karibu TZS 676.87BL na hii ni kutokana na mipango mizuri ya maendeleo inayoelezeka kimataifa,Nchi kama Ufaransa haiwezi kutoa pesa za bure kwa Rais asiyefahamu wapi anataka kufika,Tuunge mkono ziara hizi zinaleta matokeo makubwa kwa Taifa,
7. Rais anayeweza kutimua wakurugenzi wanne kwa mpigo kwa tuhuma za wizi na Ufisadi hii haijawahi kutokea kwenye Taifa hili,Watanzania lazima mwelewe huyu Mama ni mkali kuliko hata mtangulizi wake hasa kwenye " Rushwa na Ufisadi "
Tupate wapi tena mtu kama huyu?
Safi sana,
Na alisema wenzake na Mbowe wamefungwa.ni kina nani hao??rais muongomuongo wA nini???Mimi nimesema wakati wote,
Nikweli kwamba Tanzania imepata mtu ambae anaweza akajenga misingi ya Tanzania ya miaka 100 ijayo,
Rais Samia ni mtu anayependa kuona Tanzania ikiwa moja, watu wake wakiiwa wamoja,
Rais Samia anatamani kuona tunakuwa na viongozi waadilifu na wenye kujali zaidi watu wanaowaongoza,
Rais Samia bado ni Mtu bora zaidi kwenye nafasi Ya Urais Tanzania,

Zanzibar inaviongizi kwelikweli akiwemo ShakaKama hao wapo tele Zanzibar na zaidi ya hao ,huyo ni chamtoto tu.
Shaka sio mzanzibari katokea Lindi au Mtwara hata humuoni alivyo na luga yake sio yenye lafudhi ya KizanzibarZanzibar inaviongizi kwelikweli akiwemo Shaka